Maandamano Marekani serikali yetu ina cha kujifunza?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
84fa3f15a64fad0ef10e6a70670062e6.jpg
minn-today.jpg
5dd19ebca5fcac0ef10e6a70670054c5.jpg

ST. PAUL, Minn. (AP) — Minnesota's state government is closed for business.​
Minn. government forced to shut down
ST. PAUL, Minn. (AP) — Minnesota's state government is closed for business. It shut down at 12:01 a.m. CDT Friday, the victim of an ongoing dispute over taxes and spending between Democratic Gov. Mark Dayton and Republican legislative majorities. Talks fell apart well before the deadline, leaving state parks closed on the brink of the Fourth of July weekend, putting road projects at a standstill and forcing thousands of state worker layoffs. Even before the final failure, officials padlocked highway rest areas and state parks, herding campers out. The full impact will hit Friday morning as thousands of laid-off state employees stay home until further notice and a wide array of services are suspended.

Critical functions such as state troopers, prison guards, the courts and disaster responses will continue. On Friday morning, former Supreme Court Chief Justice Kathleen Blatz will begin the court-appointed job of sifting through appeals from groups arguing in favor of continued government funding for particular programs.
 
Maamuzi magumu kama haya wanayofanya Wenzetuu ndo yanawafanya hata serikali ziogope kufanya upumbavu, na kufanya kazi kwa maslahi ya nchi, Ni lini na sisi watz, wafanyakazi na wasio na kazii tutaamua kuandamana, na kugoma kwenda offcn na kufunga ofisi zote hadi matatizo yetu yapatiwe ufumbuzi?
 
84fa3f15a64fad0ef10e6a70670062e6.jpg

Maandamano na migomo nji njia ni hatua muhimu kwa waadhirika kudai haki zao kwa serikali na mihimili mingine ya dola serikalini.
Jumatatu naitisha maandamano kwenda bungeni kupinga wabunge wa CCM kutetea posho za vikao.
 
Hapo hakuna polisi ye yote, watu wako huru na maandamano yao kwa kuwa ni haki yao, hiyo ingetokea Tanzania wangelipuliwa mabomu ya machozi na wengine kuuawa na hakuna kesi
 
Marekani si nchi yenye maandamano yenye mafanikio. Hao jamaa wanaandamana lakini wakubwa bado wanapitisha miswaada yao bila ya influence yoyote kutoka kwa waandamanaji. Too bad..
 
Marekani si nchi yenye maandamano yenye mafanikio. Hao jamaa wanaandamana lakini wakubwa bado wanapitisha miswaada yao bila ya influence yoyote kutoka kwa waandamanaji. Too bad..

Just last year, the tea party rallies attributed to the Democrats' loss of Congress
 
Just last year, the tea party rallies attributed to the Democrats' loss of Congress

Maandamano ya kupinga miswaada bungeni na uchaguzi ni vitu viwili tofauti. US Elections ina factors nyingi sana, ambazo zinachangia kusababisha matokeo kuwa tofauti. Financial contributions, advertisements, ktk elections zina nguvu sana kuliko hayo maandamano ndani ya US. Tangu watu kama Martin Luther King, JFK, Wamerakani hawajali kuandamana, ndiyo maana utaona bado US inatawaliwa na vigogo vya Wall Street. Obama alikuja na speed ya change, lakini wapi. No way, US bado inatawaliwa na vigogo.
 
But you just said "maandamano" and didn't specify, and that's why I came up with the Tea Party rallies.
However, the Tea Party movement didn't rally just during the election times, they would galvanize themselves and organize demos at any given time and place depending on whatever issue they may come up with. Failure to agree with their demands will make you pay during the election
 
Usicheze na wamarekani, wanaandamana leo na wanasoma kila mwakilishi wao anaamua nini kwa manufaa ya wapiga kura, kitenda cha kuwakosesha haki wapiga kura its gona cost them next election.

Seneta mmoja wa Penn State alipendwa mno na watu wake kwa miaka kadhaa na hakuonekana atakayekuwa mpinzani wake, lakini alipodiriki kupiga kura ya kupinga mswada wa bima ya afya kwenye uchaguzi wamemwondoa bila huruma akabaki kushangaa. Hawa jamaa wanapoandamana usiposikia sanduku la kura litakuondoa, wanajua kutumia demokrasi yao.
 
Back
Top Bottom