tokea lini magamba mkaandamana mkuu! maandamano ni kwa wanaodai haki kaka!!Mkuu unafiki umeanza lini ? Chadema hawana haja ya kuandamana ili wakubalike au wapende chart .Katiba ni ya kila mmoja wetu si Chama wala nini taasisi za dini mkuu .Wewe ingia baranarani kwa jina la Tanzania iacheni Chadema kwa hili .
Katiba ya Nchi wanaifikiri ni barua ya mapenzi.
magamba mtaandama ili iweje! mkuu wa akaya akupe urithi au? peleka masaburi kwa camerun huko..Kwa hiyo maandamano yataongozwa na Chadema?
Siku hizi kila tukio wanasema ni chadema na Hilo Watasema ni chadema.Mkuu unafiki umeanza lini ? Chadema hawana haja ya kuandamana ili wakubalike au wapende chart .Katiba ni ya kila mmoja wetu si Chama wala nini taasisi za dini mkuu .Wewe ingia baranarani kwa jina la Tanzania iacheni Chadema kwa hili .
tokea lini magamba mkaandamana mkuu! maandamano ni kwa wanaodai haki kaka!!
hivi una akili timamu kwelimagamba mtaandama ili iweje! mkuu wa akaya akupe urithi au? peleka masaburi kwa camerun huko..
Katiba ya Nchi wanaifikiri ni barua ya mapenzi.
haya yatakuwa ni maandano ya tatu kwa nchi nzima kuongelewa jamvini..ngoja tuone..
Kwa hiyo maandamano yataongozwa na Chadema?
Vipi mkeo mzuri?mswada ukipita naenda kujipiga moto ikulu,.kama kuna mwanaharakati yoyote yupo tayari kumtunza mke wangu na mtoto mmoja anipm
hivi kwa nini tusianzishe utaratibu wa kuwaua wote wale wanaokwenda kinyume na maslahi ya nchi yetu?
cjui mkuu! we unaonaje!!!????hivi una akili timamu kweli
mswada ukipita naenda kujipiga moto ikulu,.kama kuna mwanaharakati yoyote yupo tayari kumtunza mke wangu na mtoto mmoja anipm
ikiwezekana chadema waongoze na kuratibu hayo maandamano ili waongeze nguvu... hakina ukombozi umefika...