Sina hakika kama hayo maandamano yatafanikiwa!
Nani asambaze?c ni cc hawa hawa?mimi na wewe!pamoja we canNingeshauri hizo sms zisambazwe kwa kila mtu ili tuing'oe serikali dhaifu madarakani ya CCM.
Ilikuwa Waarabu,sasa zamu ya watu weusi hasa watanzania.Tanzanians awakens!
maandamano huanza taratibu na pengine watu au maeneo machache sana,lakini hushika kasi kadri muda unavyosonga baada ya watu kuzoea hali halisi,watu tunahitaji sana maandamano kwani maisha tunayoishi ni kama tuko ktk maandaano tu,hatuwezi kuijenga nchi yetu kabla ya kuibomoa kwanza,ndio kanuni ya ujenzi.tunahitaji watu wa kuwatia vijiti ktk masaburi.basi na isiwe masihara tufanyeni kweli bana.
Ndugu yangu hili tangazo linaweza kutia watu matumbo joto, badala ya kutafuta pesa kkwa ajili ya kurekebisha hali ya hospitali zetu na kupoza madakitari warudi kazini, utawafanya viongozi wa Serikali kuagiza Malori mengi ya maji washa na mabomu ya machozi mengi. Pesa ambayo ingelisaidia kurekebisha baadhi ya mambo hata kulipia deni la matengenezo ya ndege ya Raisi.
Viongozi wa Tanzania wanajipanga vizuri sana katika maandamano, kuliko katika kutatua kero za wananchi.
Sasa ndugu yangu hili tangazo lako litatuletea balaaaaaaaa!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hizi ni ndoto za mchana. Maandamano kwa wa Tz hayana ladha.