Bartazar
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 1,043
- 565
ZeMalcopolo utashiriki au utaleta uchekibobu?
Lazima nyinyiemu wajue kuwa utamlazimisha punda kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZeMalcopolo utashiriki au utaleta uchekibobu?
Sasa naona professional imewekwa pembeni na sasa wameingia rasmi kwenye siasa am now conviced that kuna pressure nyuma Yao. Dr mkopi chonde chonde now simameni wenyewe katika maamuzi cz kuna watu wataumia na Hawana pa kwenda sio kweli Kwamba Nyie wote mtapata kazi Botswana kuna watu udactari tu wa hapa tz unafanya a no of people to depend on them mi nazan madactari sasa mfanye maamuzi yatakayo Linda professional yenu achaneni na siasa.Chama cha madaktari Tanzania-MAT kimeitisha maandamano makubwa dhidi ya serikali wiki Ijayo.Maandamano hayo yataanzia Hospitali ya Muhimbili mpaka wizara ya Afya.
Sababu kubwa ya maandamano ni kulaani tukio la kupigwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari Stephen Ulimboka.Pili wanalaani kufutiwa usajili madaktari wanafunzi-Interns.Tatu wamesema madaktari bingwa wameanza kuacha kazi na wengine wanahangaika kutafuta kazi nje ya nchi.Pia wamelaani kufunguliwa mashtaka kwa Rais wa MAT Namala Mkopi.Katibu Mkuu wa MAT amewaomba Watanzania wote wenye mapenzi mema kujitokeza kwa wingi siku ya.maandamano ya madaktari ili kuwaunga mkono.
Source:CHANEL TEN
pumbav kweli kweli! sidhani kama una IQ ya kutosha kutoa advice ya aina yoyote ile kwa madaktari kama hata unaweza kusuggest kuwa maandamo ya aina zote ni siasa! acha mambo yako bwana, hawa watu wanapigania sekta ya afya ya nchi yetu ikiwemo na PROFESSION (ili uwe unajua namna ya kutumia maneno ya kiingereza, sio unayatumia halafu unakosea matense na manini, shule mkuu!!!) zao! wamemwaga mpaka damu, sasa unataka kutuambia hawailindi profession yao? eti kuna mtu nyuma yao! acha kupandikiza mawazo finyu! humu yanaonekana, JF watu wako makini!!!Sasa naona professional imewekwa pembeni na sasa wameingia rasmi kwenye siasa am now conviced that kuna pressure nyuma Yao. Dr mkopi chonde chonde now simameni wenyewe katika maamuzi cz kuna watu wataumia na Hawana pa kwenda sio kweli Kwamba Nyie wote mtapata kazi Botswana kuna watu udactari tu wa hapa tz unafanya a no of people to depend on them mi nazan madactari sasa mfanye maamuzi yatakayo Linda professional yenu achaneni na siasa.
Kikubwa hapa ndugu zangu madactari fanyeni maamuzi ili kuokoa professional yenu Maandamano hayawezi kuleta tija yoyote ile katika taaluma yenu tunajua uzalendo kwetu ss wanna hi wa Hali ya chini hamna bt fanyeni reasonable decision kuokoa taaluma yenu mnachowaza sio sahihi hata kidogo achaneni kabisa na hayo Maandamano mtaani uku kugumu sana hata wale ambae mmewin mtaani is cz mpo hapo mlipo ndo paliwapa jina
Hahahahha safiiii haya ndio maneno mpaka tuwazodoe
Sasa naona professional imewekwa pembeni na sasa wameingia rasmi kwenye siasa am now conviced that kuna pressure nyuma Yao. Dr mkopi chonde chonde now simameni wenyewe katika maamuzi cz kuna watu wataumia na Hawana pa kwenda sio kweli Kwamba Nyie wote mtapata kazi Botswana kuna watu udactari tu wa hapa tz unafanya a no of people to depend on them mi nazan madactari sasa mfanye maamuzi yatakayo Linda professional yenu achaneni na siasa.
Kikubwa hapa ndugu zangu madactari fanyeni maamuzi ili kuokoa professional yenu Maandamano hayawezi kuleta tija yoyote ile katika taaluma yenu tunajua uzalendo kwetu ss wanna hi wa Hali ya chini hamna bt fanyeni reasonable decision kuokoa taaluma yenu mnachowaza sio sahihi hata kidogo achaneni kabisa na hayo Maandamano mtaani uku kugumu sana hata wale ambae mmewin mtaani is cz mpo hapo mlipo ndo paliwapa jina
I support the doctors!
Sasa hawa Madaktari au Chadema, wapi na wapi maandamano ya Madaktari yanatangazwa na wafuasi wa Chadema, huu mgomo wa Madaktari ungekuwa nyuma ya Watanzania Madaktari wangefanikiwa lakini wameruhusu Chadema wateke mgomo wao.
Tunaomba Serikali muwawache wandamane na mturuhusu wananchi twende tukawalambe bakora.
Maandamano yanini na wameshaambiwa kinaga ubaga asiyetaka aache kazi. Milango iko wazi. Wanaandamana nini? waondoke wakatafute kazi za kufanya hatuwataki tumeshachoka nao.
Tunaomba Serikali muwawache wandamane na mturuhusu wananchi twende tukawalambe bakora.
Maandamano yanini na wameshaambiwa kinaga ubaga asiyetaka aache kazi. Milango iko wazi. Wanaandamana nini? waondoke wakatafute kazi za kufanya hatuwataki tumeshachoka nao.
ZeMalcopolo utashiriki au utaleta uchekibobu?
WTF! Madaktari bongo wandhani wao ni akina nani? mbona wanataka waiendeshe nchi hivyo? Huo muda wakugoma wanautoa wapi na huku wagonjwa wakiwa unattended mahospitalini, acheni kazi madr wote mkitaka acheni ndugu zetu waendelee kufa, bora kutoa hizo billions kwa dr from Iran kuliko hawa dr uchwala wa Tz, wanaotoa dawa za maumivu tu kwa kila ugonjwa. TUMEWACHOKA fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!
Sasa hawa Madaktari au Chadema, wapi na wapi maandamano ya Madaktari yanatangazwa na wafuasi wa Chadema, huu mgomo wa Madaktari ungekuwa nyuma ya Watanzania Madaktari wangefanikiwa lakini wameruhusu Chadema wateke mgomo wao.
wanatoa dawa za maumivu tu kwa kila ugonjwa? hapo kweli bado unaona kosa ni la daktari? tuliyowachoka ni mipumbavu kama wewe ambayo haiwezi kujiuliza ni kwa nini viongozi wetu wakiugua kidogo ni kupelekwa india lakini mwananchi wa kawaida anakosa dawa na kuishia kupewa panadol tu...halafu eti unamlaumu daktari...WTF! Madaktari bongo wandhani wao ni akina nani? mbona wanataka waiendeshe nchi hivyo? Huo muda wakugoma wanautoa wapi na huku wagonjwa wakiwa unattended mahospitalini, acheni kazi madr wote mkitaka acheni ndugu zetu waendelee kufa, bora kutoa hizo billions kwa dr from Iran kuliko hawa dr uchwala wa Tz, wanaotoa dawa za maumivu tu kwa kila ugonjwa. TUMEWACHOKA fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!