Maandamano makubwa ya kumpokea king dk.steven ulimboka jangwani

waanze madaktari kuandamana ndio tutafuata sisi!!!!

waogope wao madaktari sisi tunajifanya kimbelembele
 
hivi mgomo mi naona upo wa chinchin mbona muhimbil kweupe isivyo kawaida
wagonjwa wenyewe wanasema huduma sio nzur!!!

Nenda kaone mwenyewe wagonjwa wapo madaktari wanafanya kazi hata kabla Ulimboka hajapona ni ishara kuwa Ulimboka ndio alikuwa kinara wa mgomo
 
Kweli mkuu inabidi tufanye hivyo kwa shujaa wetu
Wadau
Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima,
Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi wamekuwa wanapokelewa airport bila kibali, mfano Juzi tu prof Lipumba kapokelewa airport hadi manzese, si mara moja simba, yanga au taifa stars kupokelewa airport na mashabiki wake bila kibali.
Najua hata kikwete akirudi kutoka kwenye mkutano wake wa uzazi wa mpango wakitokea watu wakaenda kumpokea airport hawahitajika kuwa na kibari.
 
kama kweli ana SIRI, ni vyema akaibuka kimya kimya na kuhutubia umma wa Watanzania kwa kushtukiza, kwani suala la kuonekana kwenye TV au kusikika redioni si ishu, ni kuweza kulipia tu airtime
 
Tuwe makini...... kuna wengine wanaweza pia kuomba kuandamana kwenda airpot kumpopoa mawe akirudi kuonyesha hasira kwamba alipokuwa hayupo madaktari wamerudi kazini hivyo yeye ndio kinara wa mgomo uliosababisha wengi kupoteza maisha.
 
kama kweli ana SIRI, ni vyema akaibuka kimya kimya na kuhutubia umma wa Watanzania kwa kushtukiza, kwani suala la kuonekana kwenye TV au kusikika redioni si ishu, ni kuweza kulipia tu airtime

kama kweli angekuwa na siri nziri angesema kwani alishapewa fursa siku alipokutwa mabwepande
 
Nahisi maumivu atakayopata DR Ulimboka atakaposikia Madaktari wenzie wamemsaliti,pamoja na
kuwaomba akiongea kwa maumivu makali akiwa airport kuwa maumivu na damu yake iliyomwagika
iwe chachu ya wao kudai mageuzi, oh inaumiza sana leo hii madaktari wamerudi kazini tena kimya
kimya bila kuwaza maumivu aliyoyapata mwenzao kwa ajili yao wote .Je wanaweza kusema hayo
mazingira mazuri ya kazi yameboreshwa? au madi yao yametekelezwa? mmejidhalilisha na hamtakaa
msikilizwe tena.Ni kweli serikali ilijua mwenye msimamo ni Ulimbika tu ndio maana wakaamua kumuua.
mmejionyesha ninyi si muhimu kuliko sekta zingine kama TRA,BOT,Bunge NK.DRs THIN TWICE!!!!!

Dk. Ulimboka alikuwa kagoma peke yake ndio maana wenzake wamerudi kazini
 
kama kweli ana SIRI, ni vyema akaibuka kimya kimya na kuhutubia umma wa Watanzania kwa kushtukiza, kwani suala la kuonekana kwenye TV au kusikika redioni si ishu, ni kuweza kulipia tu airtime

Tunalazimisha kuwa ana siri nzito wakati hana.

kama kweli angekuwa na siri nzito angesema kwani alishapewa fursa hiyo siku alipokutwa mabwepande... vyombo vya habari vikarusha tukamsikia.
 
ndio mtampokea nyie mliokuwa mnashabikia mgomo, lakini sie tuliopoteza ndugu jamaa na marafiki kwa mgomo huo, bora arudi kimya kimya maana anatuongezea machungu yetu.
 
hongera wasaliti kwa kuokoa maisha ya wavuja jasho wanyonge wasio na mtetezi..hakika Mnyaaz Mngu Sub'hana atawarejeshea yenye kheri na ziada tele. Msisikize hoja za wanaotaka kufika ikulu 'kwa gharama' yeyote kupitia migongo yenu, hawana nia njema hawa.

kwa kua madr-wengi ni wakristo ndo mana unafurahia kipigo alichopewa,mkiambiwa ninyi ni magaid mnabisha AHMAD,,RAMA--???washenz wakubwa
 
madaktari waoga tu,ama njaa zinawasumbua wanaona bora kuendelea kupata hicho kidogo katika mazingira magumu sana kuliko kupigania hata hicho kidogo basi wapate katika mazingira mazuri ovyoo kabisa
 
mapinduzi yoyote hayaji kirahisi kama walivyofikiri lazima wawe tayari hata wengine watawsapoti
 
Wadau
Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima,
Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi wamekuwa wanapokelewa airport bila kibali, mfano Juzi tu prof Lipumba kapokelewa airport hadi manzese, si mara moja simba, yanga au taifa stars kupokelewa airport na mashabiki wake bila kibali.
Najua hata kikwete akirudi kutoka kwenye mkutano wake wa uzazi wa mpango wakitokea watu wakaenda kumpokea airport hawahitajika kuwa na kibari.

Wazo jema kwa wapigania haki wote popote walipo lakini kwa sasa badala ya kuanza kuandaa mapokezi ya Dr. ulli bora kujikita zaidi katika maombi ili apone haraka na wabaya wake wasipate nafasi tena ya kumdhuru tena then pindi tutakapoarifiwa kwamba sasa amepona na anatarajiwa kurudi nyumba wakati fulani ndio tuanze mikakati kama hiyo ya mapokezi, utaandaaje mapokezi ya mtu ambaye leo tu ndio tumearifiwa ameanza kutembea tembea baada ya kuwa katika hali mbaya kwa takriban wiki 2 hivi!? he has along way to go to full recovery, kwa sasa mawazo na maombi yetu tuyaelekeze kwenye uponyaji kwanza na kuwafariji ndugu na jamaa zake kutokana na mkasa huo na pia na kuheshimu privacy yao badala ya kumjadili jadili sana mhanga huyo!! Get well soon dr. Ulli.
 
kwa kua madr-wengi ni wakristo ndo mana unafurahia kipigo alichopewa,mkiambiwa ninyi ni magaid mnabisha AHMAD,,RAMA--???washenz wakubwa
ona taakhhira mwingine huyu!
ewe mgalatia, ni nani aliekudanganya kua nafuata imani zenu za kubuni ?
 
Wadau
Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima,
Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi wamekuwa wanapokelewa airport bila kibali, mfano Juzi tu prof Lipumba kapokelewa airport hadi manzese, si mara moja simba, yanga au taifa stars kupokelewa airport na mashabiki wake bila kibali.
Najua hata kikwete akirudi kutoka kwenye mkutano wake wa uzazi wa mpango wakitokea watu wakaenda kumpokea airport hawahitajika kuwa na kibari.

mbwembwe za nini..acha apone kwanza ndo uanze kuchonga
 
kwa kua madr-wengi ni wakristo ndo mana unafurahia kipigo alichopewa,mkiambiwa ninyi ni magaid mnabisha AHMAD,,RAMA--???washenz wakubwa

jee umeangalia takwimu kujua wengi walokufa kwa mgomo ni wa dini gani? Kama bado mtafute Mzee mtei ndo mtaalam wa tafiti hizo!
 
Back
Top Bottom