Maandamano makubwa ya kumpokea king dk.steven ulimboka jangwani

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wadau
Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima,
Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi wamekuwa wanapokelewa airport bila kibali, mfano Juzi tu prof Lipumba kapokelewa airport hadi manzese, si mara moja simba, yanga au taifa stars kupokelewa airport na mashabiki wake bila kibali.
Najua hata kikwete akirudi kutoka kwenye mkutano wake wa uzazi wa mpango wakitokea watu wakaenda kumpokea airport hawahitajika kuwa na kibari.
 
Tunampokea vipi wakati madaktari wenzake wamemsaliti, Shame on you Madaktari, Watanzania uoga mpaka lini. Nchi za watu wanaandamana kwa kupandishwa bei ya mkate, Hapa bongo uoga hata kwenye haki za msingi
 
Kweli hamna madaktari tz.Wanafiki,waoga.wanajipendekeza,hawana lolote.Ndo maana serikali ikajua aliyekuwa na msimaamo ni ul wakamfanizia na hii imesaidia wamerudi kazini kama makondoo ambao hawana mbele wala nyuma.Shame on u madaktali.Uli nitampokea pamoja na familia yangu.
 
Mkuu Dr Ulimboka atapokelewa na watu wenye uchungu na mambo yanayofanyiwa Taifa hili Tofauti kubwa ni kuwa Prof Lipumba alipokelewa na Mateja wa Buguruni
 
Its only in the church and before the altar Dr. Ulimboka can confidently narrate his testimony. Anywhere else, interruption mingled with severe power abuse is inevitable! And only through religious media channels this testimony can be aired to the public in Tanzania. But this is also not a guarantee that the license of that media house will remain safe.
 
hongera wasaliti kwa kuokoa maisha ya wavuja jasho wanyonge wasio na mtetezi..hakika Mnyaaz Mngu Sub'hana atawarejeshea yenye kheri na ziada tele. Msisikize hoja za wanaotaka kufika ikulu 'kwa gharama' yeyote kupitia migongo yenu, hawana nia njema hawa.
 
hata dogo janja alipokelewa kwa maandamano makubwa wakati akirejea dar toka arusha...
 
Ingekuwa anafikia hapa A town hakika tungeweza haya ulioangusha hapa!

Hapo Dar uwoga mpaka lini??
 
Mimi napinga mapokezi yake. Ndio siku hiyo hiyo watakapojipenyeshwa wale wabaya wake na kumdunga hata sindano katikati ya watu. Huyu apokelewe kimyakimya. Ila aibuke siku kwenye media basi itatosha.
 
Tunampokea vipi wakati madaktari wenzake wamemsaliti, Shame on you Madaktari, Wayanzania uoga mpaka lini. Nchi za watu wanaandamana kwa kupandishwa bei ya mkate, Hapa bongo uoga hata kwenye haki za msingi

Wewe kwa ujasiri wako umeshiriki vipi kwenye hili?umeandamana ukakosa washiriki?
 
Kweli hamna madaktari tz.Wanafiki,waoga.wanajipendekeza,hawana lolote.Ndo maana serikali ikajua aliyekuwa na msimaamo ni ul wakamfanizia na hii imesaidia wamerudi kazini kama makondoo ambao hawana mbele wala nyuma.Shame on u madaktali.Uli nitampokea pamoja na familia yangu.

Nahisi maumivu atakayopata DR Ulimboka atakaposikia Madaktari wenzie wamemsaliti,pamoja na
kuwaomba akiongea kwa maumivu makali akiwa airport kuwa maumivu na damu yake iliyomwagika
iwe chachu ya wao kudai mageuzi, oh inaumiza sana leo hii madaktari wamerudi kazini tena kimya
kimya bila kuwaza maumivu aliyoyapata mwenzao kwa ajili yao wote .Je wanaweza kusema hayo
mazingira mazuri ya kazi yameboreshwa? au madi yao yametekelezwa? mmejidhalilisha na hamtakaa
msikilizwe tena.Ni kweli serikali ilijua mwenye msimamo ni Ulimbika tu ndio maana wakaamua kumuua.
mmejionyesha ninyi si muhimu kuliko sekta zingine kama TRA,BOT,Bunge NK.DRs THIN TWICE!!!!!
 
mimi nitatengeneza baango kubwa.. Lenye mbndish mekundu.. Ya kumpongeza dk, ulimboka.. Na kumshukuru mungu kwa kumponya
 
Ingekua mbeya ingefanyika vizuri ila hapo kwa wazaramo sina uhakika uoga uko mbele saaana.
 
Nina wasiwasi wakifanya hivyo wale waliopotelewa na ndugu zao wakati wa mgomo wanaweza kumalizia kilichobakia.............
 
Sasa madaktari wameasi mgomo. Kwa hiyo jamaa akirudi atagoma peke yake au itakuwa vipi? Au atalianzisha kwa manesi nini? Usaliti mtupu.
 
Tunampokea vipi wakati madaktari wenzake wamemsaliti, Shame on you Madaktari, Watanzania uoga mpaka lini. Nchi za watu wanaandamana kwa kupandishwa bei ya mkate, Hapa bongo uoga hata kwenye haki za msingi

hivi mgomo mi naona upo wa chinchin mbona muhimbil kweupe isivyo kawaida
wagonjwa wenyewe wanasema huduma sio nzur!!!
 
Back
Top Bottom