Maandamano Makubwa Tandahimba

sii majuzi walifunga barabara ya newala mtwara kwa madai hayo hayo!serikali ilitoa ahadi ya uongo
ILe ilikua Mtwara vijijini waliambiwa DC wao ataenda leo,bdo wanasubiri ila walisema km hawapewi majibu ya maana wataendelea na zoezi hadi kieleweke.
 
shossi bwana unataka useme huu mtandao niwachadema???
Tunakufahamu wewe bwana acha unafiki wako hapa!
Ahsante kwa kulitambua hilo!....huyo jamaa ni CUF damu. Seme ndiyo hivyo tena chama chake kimekufa
na hasira zao zote wanazipeleka kwa CDM badala ya kuzipeleka kwa CCM ambao wamesababisha kifo cha
chama chao. RIP CUF
 
Mmmh hivi wewe ni Shossi, "Shosti" au "Sholi" maana naona umekurupuka kindama zaidi hebu wacha kufanya CDM kuwa Wabinafsi kama wewe, hii ni kwa ajili ya maslahi ya walala hoi wenzetu bana; we wa wapi wewe!!

Asante sana bwana Pinokyo kwa kejeli zako ila mimi sijakuita jina baya na kwa kuniita jina baya hakupelekei mimi kukuvunjia heshima zako.

Shukran sana mkuu ubarikiwe 7 mara 70
 
Asante sana bwana Pinokyo kwa kejeli zako ila mimi sijakuita jina baya na kwa kuniita jina baya hakupelekei mimi kukuvunjia heshima zako.

Shukran sana mkuu ubarikiwe 7 mara 70

Ooooh pole sana braza; ustaarabu wako umenizindua toka kuzimu kurudi kuwa na utu nilighafirika tu ndugu yangu nsamehe bure!!

Turudi kwenye mada ya msingi!!
 
apply peooooooooooooooplespower!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
eventually pesa itatoka . hivi pressure iliyotumika bado haijaleta masukumo wa kutosha ongeza kidogo
Nasikia mnunuzi wa hizo korosho ni mtoto wa mwenye nchi
 
kumbe hujapona bado! nilete habari zip za Chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? acha ushabiki wa kijinga! hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? mbona hawatetei? ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! hata wangeandamana TLP ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?

Na wewe, si mtoto akilila wembe mwache umkate? Watu wa Mtwara wanaililia ccm waache iendelee kuwadhurum!!! CHADEMA itawasaidia pale watakapoanza kujitambua.
 
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Ndugu yangu umeishiwa hoja naona! Na sina hakika kama we ni mwana chadema make usingeogopa challenge bali kukabiliana nazo... Ina maana CDM ndo wana habari? au mtu kama wewe ukikabidhiwa nchi si utazuia wapinzani na ishu zao zisiwe reported? hii akili ni ya kiccm zaidi na si CDM!

Back to topic, Karibu tupambane CUF naona mnataka kujivua ndoa yenu au mmepewa talaka nini? all the best ktk stratergies mupya... Kama ni za kweli si unafiki
 
Na wewe, si mtoto akilila wembe mwache umkate? Watu wa Mtwara wanaililia ccm waache iendelee kuwadhurum!!! CHADEMA itawasaidia pale watakapoanza kujitambua.

una uhakika? uckurupuke, no research no right to speak!
 
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Hata hii nayo ni habari acha kuwa na kutaka kuwa na habari unazotaka zikuvutie tu na sidhani kama ni lazima kuisoma
 
wakulima wana haki ya kudai ujira kwa kazi zao walizofanya. yeyote atakayewasaidia aungwe mkono. inasaidia pia kuwaamsha wakulima kuwa kumbe hii ccm haina nia njema nao. na waache kuipigia kura milele!
 
maelfu ya wanachama wa Cuf leo wamepambana na police katika maandamano yaliyoitishwa na cuf wilaya ya tandahimba kupinga stakabadhi ghalani xakiongozwa na julius mtatiro ma mwenyekiti wa wilaya katani Ahmed katani, ambapo police walipiga marufuku maandamano hayo.
 
Nini kinaendelea? kuna majeruhi wangapi? Hali ipoje kwa sasa? Updates please!
 
Duh ukiona hadi TANDAHIMBA nao wanaandamana na kufunga barabara wakidai haki zao basi ujue tumefika point of no return. Hata TANDAHIMBA
 
Back
Top Bottom