Maandamano makubwa kupinga bei mpya ya umeme Jpili hii,tarehe 15

Si muitishe mgomo wa nchi nzima wa kutokutumia umeme?watu tushaandamana sana tumechoka tangu enzi zile sa maalim seif ana sema jino kwa jino wakati jino lake kalificha pale starlight!wewe (lipia umeme kadri utumiavyo) a.k.a LUku.fujo za nini?
 
Si muitishe mgomo wa nchi nzima wa kutokutumia umeme?watu tushaandamana sana tumechoka tangu enzi zile sa maalim seif ana sema jino kwa jino wakati jino lake kalificha pale starlight!wewe (lipia umeme kadri utumiavyo) a.k.a LUku.fujo za nini?
Mmh!...??
 
#Ombi letu kwako ni :
tutashukuru kila mtu mzima
akija na watoto 2 au 3 wenye
umri chini ya
miaka 8 au uje na mlemavu
yeyote wa viungo (wa
kutambaa). Lengo letu kuu ni
kuwatangu
liza hawa waremavu na
watoto wadogo front line ili
polisi wa magamba
washindwe kumimina
risasi au maji ya kuwasha....na
sisi wakubwa tutakuwa
nyuma yao hadi pale Tanesco
ubungo#
NILIKUWA SAMBAMBA NA WEWE MPAKA LINE HIYO AKILI IKAGOMA KAMA inocent chldren wana2mika kama shield bora niende mwenyewe makao makuu,STOP BEENG A COWARD,mc2mie watoto,KAMA KWENDA 2TAENDA WA2 WAZMA na bangi ze2 kchwan...KAMA WATOTO WATAKUWEPO KAMA SHIELD ME CJI...#TZ LYK GOING THROUGH THE FIRE EXPECTNG NOT TO SWEAT
 
Siyo woga....kuwashinda magamba lazima utumie ujanja na akili,vinginevyo inakula kwako

yaan me naona huyo anayesema leta watoto hana watoto,ebu leta wako then uwaweke mbele kuanzia po* mpaka ubungo,nyieee ivi zmo kweli?kama kwenda 2naenda watu wazma,mnaogopa maji na virungu!?kama n hvo bado hili swala halija2umaa,2naenda kisiasa 2,WATOTO WABAKI MAJUMBANI,MIMI NA WEWE NDO 2NAENDA,kama n muoga wa virungu baki nyumbani..
 
Nadhani waTz uvumilivu haujatuisha bado pindi utakapotuisha ndo itaweza kutokea kitu kama hicho
 
Unawajua wabongo ama unawasikia tu, utaenda peke yako ila hakikisha umewaaga ndugu jamaa na marafiki zako
 
Niko mbele kama mimba na nitahakisha hawa polis wa magamba nachukuwa maji yangu au element ili wasinipate.
 
Niko mbele kama mimba na nitahakisha hawa polis wa magamba nachukuwa maji yangu au element ili wasinipate.

Kamanda safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,na bila shaka tupo pamoja A to Z!!!!!!!!!!!!!!!!

Mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!

Hawawezi kutupandishia umeme utafikiri wao ndiyo watumiaji!
 
Back
Top Bottom