Maandamano makubwa Arusha tar 24/07/2011

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa umeme bwana!!!!!! Sasa ccm wamemrukia ngeleja baada tu ya kuisoma bajeti yake hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tunaomba mtujuze haya maandamano yanaanzia wapi ili tushiriki, nawaunga mkono waandaaji kwa 100%. Pole kwa wanaoibeza CHADEMA. Kama sio CHADEMA hawa mafisadi wangeendelea kuitafuna nchi yetu. Swala la umeme linakera sana, tuna hasira na nchi yetu inayoangamia. Jamani mgao wa umeme unafanya watu wanakosa ajira, watu 3000 wamepunguzwa sun flug , wanakwenda wapi Watanzania hawa kupata ajira kwa kipindi hiki? Nani atahudumia familia zao,nani atawalipia kodi za nyumba wanazoishi, au hawa mafisadi watajitolea kuwasaidia ambao wenzetu hawajui shida ni nini kwa majasho yetu watu wa chini. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU, Onekana kwa hawa mafisadi wasio kuwa na hofu na laana yako. AMEN
 
Mgao wa umeme ni nchi nzima jamani hili ni janga linawashinda viongozi kulitatua watawezaje kuwasaidia? Umeme sio bidhaa inayopatikana dukani tuseme tukiandamana tutanunuliwa tupewe tutulie. Nashauri tuyageuze maandamano haya yawe ya kuing`o serikali legelege madarakani iliofanya uvundo huu wa miaka 50. Mm pia nipo arusha na nitaandamana hata nipigwe moto wengine wapone.
Hatupati umeme siyo kwa sababu infrastructure za umeme ni bei juu sana bali ni serikali haitimizi wajibu wake.Kwa taarifa tu haya makali tunayo experience top decision makers including some stupid MPs hawaya-experience kutokana na fasi zao au disposable income...tunashindwa kutetewa na wabunge kwa sababu allowance anazopata ndani ya wiki anauwezo wa kujinunulia generator nzuri...fuatilia utaona serikali imenunua na kugharamia uendeshaji wa generator kwa viongozi wa juu serikalini.
 
Nawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!
Chadema ni chama cha Vurugu

Wazungu wamesema "Unachokiongea ndicho kinawafanya watu waelewe kilichomo kichwani mwako" kwa ufafanuzi "The way you talk, lets people know what is in your mind". Janga la kitaifa
 
Mbona sijawasikia kuandamana kuhusu muafaka baina ya cdm na ccm kuhusu meya. Na tume ya Marando kimyaaa, maji ya shingo?
 
Cmon lets Be serious,

It is realy amazing .. some gentlemen here are totaly zombie... Isnt it?

We talk about electricity ..thye talk of CCM and CHADEMA..

They shoukd tell us if there is any different type of electricity used by CHADEMA with that of CCM!

Green or Blue ...?
 
Vipi mkuu umesharudi kutoka Igunga? nasikia ulikuwa kwenye ile orodha ya waliokodiwa kwa ajili ya kwenda kulia pale kwenye ule mkutano!,...... vipi wenzako waliozimia wameshazinduka?


Wale jamaa hawakuzimia bali wali ji - overdose dawa ya usingizi ili waonekane wamelia sana. Hizi siasa za kuganga njaa zitakuja maliza watu jamani na hii inatokana na umaskini ambao umesababishwa na hawa hawa akina Rosmam Azizi . yaani hapa aliongeza dozi juu ya dozi bila hawa jamaa kujua wanamtumikia mtu wa namna gani

Nahisi igunga wakidanganywa kujitoa Mhanga kwa ajili ya RA watajitoa kwa sababu nawaona ni wajinga kwani aliyejiuzulu mwenyewe hakuzirai bali wapambe wanazirai kama siyo ujinga ni kitu gani hicho. Hivi nani ilimgusa zaidi ni RA au hawa waliozimia? Hv tutatumikia mafisadi kwa gharama zetu hadi lini?
 
Mbona leo maeneo mengi kuna umeme wameshasikia nini? Hii nchi ni ya kihuni sana na yakifanyika lazima nihudhurie wasilete upumbavu wao wakati arusha kuna wanamagamba pia
 
Mkuu! Tunashukuruuuuuuuuuuu kwa thread yenye ma2maini ya ukombozi. Nguvu ya ummaaaaaaaaaaaaaaaa! Ipishweeeeeeeeee! Magamba wameipeleka nchi gizani kbs bila ya kujali utu wa kibinadamu. Yani! Ngoja nitarudi.
 
nilikuwepo kwenye maandalizi na tumemtuma mmoja wa wananch kwenda Dom leo kuongea na wabunge wazalendo.
tunasema maisha ya utwiga tumeyachoka tumeamua kuwa nyati.kama noma na iwe noma 24/07/2011
 
nilikuwepo kwenye maandalizi na tumemtuma mmoja wa wananch kwenda Dom leo kuongea na wabunge wazalendo.<br>tunasema maisha ya utwiga tumeyachoka tumeamua kuwa nyati.kama noma na iwe noma 24/07/2011<br>
 
Hali Kadhalika Mbeya mjini wazee, mgao ni mkali mno, ni kama hamna umeme kabisa.Nadhani wanafanya makusudi kwa majimbo yaliyochukuliwa na Chadema.
yaweza ikawa kweli,sisi huku tabora mgao ni wa masaa 12,labda kwa sababu hatuna viwanda.
 
Maandamano hayo bado yataonekana ya kisiasa kwani Lema,Mbowe na viongozi wengine wa chadema wataingia kwa title ya wananchi.

Kama una ushahidi uweke hapa kwani mbowe siyo mwananchi wa Arusha ila hakatazwi kushiriki kama raia wa TZ au unataka sema viongozi waliokwenda kwenye sherehe za uhuru kule sudan ya Kusini hawakustahili kwenda kwa sababu siyo wa raia wa Sudan?
 
Back
Top Bottom