Maandamano maandamano maandamno

kasafishe meno ndo maana na maneno unayotoa ni machafu!upeo wako wa mambo mchafu yani kila kitu kichafu!kipato cha mtanzania ni 770,000.00 kwa mwaka mbunge anapata 660,000.00 kwa siku mbili!hizi akili matope!amkeni nyie vipofu na viziwi! Mnafikiri kutumia nini?

Kaka, hizo 660.000.00 kwa siku mbili hivi na Chadema nao wanachuwa au CCM peke yake?
 
Daah! Inatia uchungu sana, afu watanzania tupo kimyaaaaa!
 
Umenda kwa kuomba kibali kwa mapolice.

mapolisi nao watajiunga kwenye hayo maandamano maana nimeona polisi waliopata ajali ya tanga kwenye msafala wa makamu wa raisi wamekosa wametelekezwa mpaka mmoja alikuwa analalamika kwa kukosa tzs 3000
 
Na bado kuna siku watakosa hata sh 50, waache waendelee kutumika!
 
Watanzania hatima ya nchi iko mikononi mwetu lets go out and scream
 
Kaka, hizo 660.000.00 kwa siku mbili hivi na Chadema nao wanachuwa au CCM peke yake?

swali lakijinga linaloonyesha ushabiki wa kijinga...tunapinga wabunge kijilipa posho ambayo kwa kimsingi haikupaswa kabisa kuwepo leo wana jilipa zaidi ya lakin tatu kwa kusinzia bungeni kwa elimu za lasaba wakati madr wanata waongezewe mshahara wanatishi kufuzwa, walimu wanapigika, wananchi wako hoi
 
tuweke wazi maana na mimi nina safari ya kuja huko kama ni sababu ya msingi nitajiunga nanyi....msiliweke pembeni swala la posho za wabunge na mgomo wa madr

Mtoa anaharaka katika kuandika kama cha kwanza, hana hoja ya msingi aliyoiweka katika thread zaidi ya kutoa wito. Yeye anafikiri kila wito unaitikiwa bila kuwa na sababu ya msingi.
 
Niulize mimi ni nani ninayetaka kuandamana, raia wa nchi, ninayeteseka kwa kulipa kodi na sioni matunda yake, ninaye pinga nchi yangu kugeuzwa shamba la bibi, ninayepinga kuongezwa posho za wabunge, malipo ya dowans, kupanda kwa umeme, ninayepinga wizi wa kiwira, ninayepinga kujazana kwa watoto wa vigogo serikalini, ninayepinga taxi holiday kwenye mahotel, ninayepinga kuchelewesha mikopo kwa wanafunzi, ninayepinga huduma mbaya za elimu, afya na maji, ninayepinga safari nyingi za JK, ninayeunga mkono migomo ya wafanyakazi, ninayepambana na mchuzi bata kama wewe! Je wewe ni nani ambaye usiye taka tuandamane

huyu haina haja ya kupambana nae sema tumlime IP BAN asione JF kwenye Network yake tena
 
mshahara wa mwalimu wa kawaida na polisi ni 150,000 kwa siku 30, mbunge anapata huo mshara kwa masaa kati ya 4-5.tafakari kwa kina hii dhahama!ni werevu wa watanzania wote au wachache?je ni weredi au ujinga!polisi endeleeni kuwalinda hao mabosi zenu! chenji ndo mshahara wako!hahahahaah wajinga ndio waliwao!
 
Ijumaa kuanzia saa ngapi?mimi nipo karibu na mlimani city,nifike pale saa ngapi hasa?Kweli hii nchi imezidi ufedhuli tumechoshwa na umasikini wa kujitakia!!Tupo pamoja mkuu!!
 
huyu haina haja ya kupambana nae sema tumlime IP BAN asione JF kwenye Network yake tena

ukweli kwa magamba ni mwiko!mjue muda wa kudanganya uma wa watanzania wasio na hatia unaexipire sasa!soon it will untouchable!mimi au wewe, one must quit!we are fed up with these shits!
 
saa 3 asubuhi kama mbaya na iwe mbaya tu .............tumechoka
Ijumaa kuanzia saa ngapi?mimi nipo karibu na mlimani city,nifike pale saa ngapi hasa?Kweli hii nchi imezidi ufedhuli tumechoshwa na umasikini wa kujitakia!!Tupo pamoja mkuu!!
 
Jamani tengenezeni vipeperushi vya maandamano ya ijumaa mimi nitabandika maeneo ya kimara
 
Je kuna nini humu,Forum haipatikani kiarhisi nini tatizo,
Wadau kuna nini au mgomo wa maDr umeingia na humu ndani????
 
mambo yameiva kama sisi ni ng'ombe sawa, lakini sasa tumeamua Tanzania itabaki kuwa taifa tu la watanzania MAANDAMANO 3 feb.JPG
 
Back
Top Bottom