Maandamano kupinga uuwaji wa polis Tanzania kufanyika Washington DC. Marekani

Watanzania kuandamana itakuwa ni ngum kwasababu ya ukatili wa jesh letu la polis
PAMBANENI, au mmeshakubali kushindwa? HAKUNA WA KUTUPIGANIA, NI SISI WENYEWE. TUKIKUBALI kushindwa basi, wote tutageuzwa wapagazi na MAFISADI CCM kwa kutumia polisi, ambao hao polisi ndo adui namba moja kwa sasa wa nchi yetu na hata kwa CCM, ila kibaya ni kuwa CCM hawajui jinsi jeshi la polisi linavyohatarisha uhai wake kama chama kilicho madarakani. CHUKI nyingi za wananchi dhidi ya CCM na serikali, zinatokana na polisi: wanaua, wananyanyasa, wananyang'anya mali za wananchi, wanatesa. KILA SIKU WANANCHI wanalia na polisi wa CCM, je CCM itapendwa? WOTE tupambane na dhuluma hii maana kesho kutwa, CCM itakuwa nayo ianomba kibali polisi kuitisha mikutano, HAITAKUWA MADARAKANI
 
Tanzania imegeuzwa shamba la CCM. Ukionyesha uelewa kama Dr. Slaa, Dr. feck anatuma polisi. Ni kwa bahati mbaya sana technology imemtangulia Dr. ambaye hajaenda shule. Kwa sasa inabidi tuamke, tusimame, na tumwonyeshe kuwa kuna shule na kuna watanzania waliosoma kweli. Wachache wakiandamana Washington DC, watawaamshwa wengine kule Uingereza, nao watawaamsha wengine Ujerumani, nk. Hatimae watanzania hapa nyumbani watasimama na kusema inatosha.
Idiamin, Hitler, Mubarack, Sadamu na wengine waliua sana. Siku ilipofika waliishia tena kwa aibu kubwa. Tanzania na viongozi wake wako mbioni kuishia na aibu kubwa kuliko hao!
 
Back
Top Bottom