Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Mimi mpaka nlishaomba kibali cha kutumia JF kama jukwaa la kuratibu maandamano hayo but muitikio wa watu ukawa mdogo.Watu maandamano yanaishia kwenye computer na internet za simu,Tunapenda sana kwenda peponi lakin hatupendi kufa kwanza.hii ni kama thread ya 10 inaohitataji watz kuandamana ila maandamano yanaishia humu humu jf labda ila sijui...