Maandamano kuomba serikali kumpa sapoti ya kutosha babu ambilikile

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779

Ndugu mpendwa ukiwa mmoja wa wapendwa wanaoamini dawa kutoka kwa Mungu ya bwana Ambilikile tumeona mpaka sasa serikali aijaonyesha uwezo wake halisi kumsaidia babu huyu ikiwemo kusaidia miundo mbinu viafaa anavyotumia na mengineyo…ktk kuonyesha tuko pamoja na Babu tumeona tuweke mkakati wa maandamano tar 26 mjini arusha kuhimiza serikali kumsapoti babu na pili kusimamia usafiri wa Loliondo upunguzwe bei na usiwe wa matajiri tu wenye uqwezo wa kulipa laki moja …sumatra tun aomba msaada kwa hili


ukiwa kama mhitaji wa babu unaombwa kuchangia sh 5000 ...hii ni pamoja na kupewa tshirt zitakazokuwa na picha za babu akiwapa viongozi mbali mbali wa serikali maji matakatifu...tutnaomba utume kama utashiriki tuweze kujua idadi kwa

denismandia@yahoo.com

pesa mtaelezwa wapi pa kupeleka

pdidyLambilikile@yahoo.com
 
duh hivi ukilala unamwota babu nini, mbona posts zako zote ni babu,babu kama vile wengine hatuuguwi??



crapppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
reserved comments on stupid post
 
watoto wa mliman shida kweli yaani vijialfu 5 vianwasumbua kiasi hicho angalia zisiishe zote kwenye internet cafe
 
Back
Top Bottom