Maandamano bondeni

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
110209121958_zuma_304x171__nocredit.jpg
Rais Zuma: Afrika Kusini inakabiliwa na maandamano kupinga muswada tata

Maandamano ya kupinga muswada wa sheria wenye utata kuhusu kulinda taarifa za siri za serikali yameanza katika miji mbalimbali nchini Afrika Kusini.
Muswada huo unatarajiwa kupitishwa hii leo na bunge la nchi hiyo.
Askofu Desmond Tutu ameueleza muswada huo kuwa haufai na ni matusi kwa wananchi wa Afrika Kusini.
Tahariri katika magazeti yote makubwa nchini humo zimeonya kuwa sheria hiyo itawapeleka jela waandishi wa habari watakaofichua kashfa za serikali, kama ilivyokuwa wakati wa utawala wa kibaguzi.
Chama tawala cha African National Congress, ANC kinasema sheria hiyo inahitajika ili kulinda siri za serikali na inaendana na sheria za kimataifa.

[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]

[h=2]Afrika Kusini [/h]

Yalianzia Afrika kaskazini,yanahamia Afrika kusini.Si ajabu siku moja yakaja Afrika mashariki kwa kasi ileile.Viburi vya watawala wetu na matokeo yake.
 
Kalungu yeye ni kalungu yeye tu hata ajifiche wapi.... South Africa ilikuwa Ulaya enzi za Makaburu na hata ANC walipokamata utawala iliendelea kuwa hivyo lakini kadri muda unavyoenda nchi hiyo inaelekea kufuata na kuiga tabia za majiani zake wa upande wake wa kaskazini kuliko kuiga yale mazuri walioachiwa na mkoloni. Kuna siku RSA itakuwa kama Zimbabwe.
 
In god we trust:
G=Gold
O=Oil
D=Diamond
 
Back
Top Bottom