Maandamano bila kibali-kwanini mbunge wa nzega hakukamatwa na polisi

OMEGA

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
693
300
Nimekuwa nikishuhudia mara kadhaa viongozi wa vyama vya upinzani wakitiwa misukosuko kwa kuitisha maandamano bila vibali vya OCD.Je vibali hivi vinatakiwa kwa upinzai tu,jana tulimouna mbunge wa Nzega[Samahani jina lake uwa linanishinda kuandika na kutamka] akiongoza maandamano fulani huko jimboni kwakwe na kudai haitaji ruhusa ya polisi,je taarifa za kiintelijensia hazikumuona?
 
Kwenye kofia wanazotumia polisi kuna nembo ya shoka na jembe ambayo inalandana na ile ya ccm, so kwa maana nyingine hawa ni washirika! Ipo siku yao!
 
1 CD YA UKABILA
2 CD YA UDINI
3 CD YA UKANDA

KWA KUWA WATANZANIA WENGI NI WAELEWA CCM IMEANGUKIA PABAYA KWA KUKOSA WANUNUZI WARNING:

SASA CCM INAWATUMIA UAMSHO KUWAGAWA WATANZANIA BILA KUJUA WAZANZIBARI WAMEINGIZWA MJINI HIYO NI HUJUMA YA CCM KUOGOPA MABADILIKO YANAYOKUJA 2015 THE ONLY WAY NI KUWAGAWA WATANZANIA KWA KUWATUMIA AKINA SHEIKH MPONDA NA WAJINGA WENZAKE:bump:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom