Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

kweli kuna watu wanambango.....najaribu kuweka picha mana nimezipiga nyingi kwenye simu....let me try again
 
On my way kukutana na madaktari bingwa, then hapo barabarani kukutana na wanaharakati...ooops, lakini si juzi tu wawakilishi wenu walikuwa ikulu? anyway...nakuja!
 
Niko hapa barabara ya Ali Hassani Mwinyi,madaktari kwa wingi wao na umoja wao wamefunga barabara,foleni inatisha.Kwa sasa barabara hii haifai kupita.
 
Chembe na chembe mkate huwa!...ONLY PEOPLES POWER WILL WORK OUT WITH THE OPPRESSOR!

article-1268298389005-08A83CFE000005DC-99851_636x300.jpg
 
kuna maanadamano makubwa huko dar...watu kibao wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...wana mabango kibao..wakiishinikiza serikali kuingilia kati


sosi ni mwana jf aliyepo eneo la tukio kanipigia simu

Radio Tumaini wameripoti the same. Watu wanakufa hawana huduma za madr. Wanataka watu wahusika wizarani wawajibishwe. Source, radio tumaini
 
we nenda sasa hivi.....tena wote mlioko dar nendeni sasa hivi...polis wapo na hawafanyi lolote..wanatazama tu na kulinda amani
 
kuna maanadamano makubwa huko dar...watu kibao wameandamana na wamekusanyika hapo salender bridge...wana mabango kibao..wakiishinikiza serikali kuingilia kati


sosi ni mwana jf aliyepo eneo la tukio kanipigia simu

Wamewaiga wazee wa EA hahahahahahaha bongo bana
 
ngoja ninunue dumu la maji ya uhai lt 5 nikajiunge na wenzangu.
Hii ni kujiandaa na mabomu ya sumu
 
Barabara ya Alli Hassani Mwinyi kuelekea posta imefungwa wanaharakati wameandamana kuipinga watu kufa kutokana na mgomo wa madaktari. Wanapinga ukimya wa serikali
 
nipo salenda magar hayaend yan ni tatizo juu ya matatizo magar hayaend watu mamelala barabaran hakuna gal linaropita hapa
 
Mhhhhh! Natumai hii ndio itakuwa saa ya ukombozi wa nchi yetu kutoka kwa fisadi Kikwete na timu yake. Itakuwa poa sana kama wale FFU, Polisi wakikataa kwenda kupiga virungu, kupiga mabomu ya machozi na kuwamwagia maji yenye pilipili Watanzania ambao wataamua kuandamana ili kuipinga hii Serikali taahira.
 
Back
Top Bottom