Maandamano anayo yapenda Kikwete

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
IMG_1103.JPG


Hawa ni wanaharakati walio andamana mpaka Ikulu jana kukumbushia azimio la Msumbiji mwaka 2003 juu yaongezeko la chakula mpaka kufikia bajeti ya 10%.

8E9U9874.JPG


Rais hakuona nongwa kuwakaribisha kabisa lkulu hata maafande makunja hawakuwabughudhi kabisa sijui lkulu iliandaa haya maandamano maana sio kawaida.

IMG_1140.JPG


Rais anafrahia maandamano hayo pembeni ni waziri wa Chakula inaonyesha ni mpango mzima. Serikali inapenda maandamano ya aina hii na si yale ya kuitaka serikali ifanye maamuzi magumu kwa manufaa ya wananchi.
 
teh teh teh teh,kwi,kwi kwi uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,baba mwanaasha bwana.................
 
Haya si maandamano; mh. Raisi aliwapokea wanaharakati waliomfikishia ujumbe sawa na alivyompokea mh. Mbowe na wanaharakati wengine wa Chadema.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Inachekesha kweli na ndio maana naye anacheka.

Maandamano ya wenye shibe wakilalamika njaa!

 
Haya si maandamano; mh. Raisi aliwapokea wanaharakati waliomfikishia ujumbe sawa na alivyompokea mh. Mbowe na wanaharakati wengine wa Chadema.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Mkuu hawa waliandamana mpaka Ikulu na kama unavyo ona mabango hayo sijui CUF na CHADEMA siku ile walibeba mabango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom