Elections 2010 Maandalizi ya samani zitakazotumika siku kuapishwa rais wa awamu ya tano zaakamilika

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Kuna taarifa kuwa samani zitakazotumika siku ya kuapishwa rais wa awamu ya tano zimekamilika na zimetengenezwa na jeshi la Magereza.SAmani hizi ni viti watakavyokalia HIGH TABLE ambavyo vimetengenezwa kwa mandhari ya kitanzania kwa kutumia mali ghafi ya miti aina ya mipingo kwa hakika vinavutia sana.Hii ni mara ya kwanza kutumia mali ghafi za nchini kutengeza samani za ikulu kwani tumezoea kuona vya kutoka ughaibuni vinavyonunuliwa kwa fedha nyingi.
 
Kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom