Maandalizi ya mgombea urais ni sasa, asikudanganye mtu!

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Habari ndio hiyo, subiri.....subiri mtaula wa chuya....ohooo!!

Usipomwandaa mgombea wako leo, wenzako watakupiga bao la kisigino.

Wenye nia ya kugombea urais au wale wanaosubiri kuoteshwa, wakati ndio huu. Ikifika 2015 kazi ni moja tu, kufanya kampeni na kumpigia kura mgombea wetu.... baaaasi...
 
Mkuu nakuambia hakuna mtu anayesubiri hadi 2015. Kinaonekana hapa ni unafiki tu watu wanapiga kampeni za kufa mtu na kujiandalia mitandao huku wakisema wakati wa kutangaza bado. Mimi naona waliosema hadharani kuwa wanautaka Urais 2015 wamejitoa katika kundi la wanafiki.
 
Rais 2015 ni Dr Wilbroad Peter Slaa! Wanaofanya maandalizi sasa hivi hawajiamini na hawafai hata kidogo! tuwaogope kama ukoma.
 
Napendekeza waanze kujitangaza mapema, hata wakifikia 200 si neno. Watachujwa na kubakia wenye sifa, pengine tutabahatika kupata rais mzalendo mwenye kulipenda taifa letu.
 
Habari ndio hiyo, subiri.....subiri mtaula wa chuya....ohooo!!

Usipomwandaa mgombea wako leo, wenzako watakupiga bao la kisigino.

Wenye nia ya kugombea urais au wale wanaosubiri kuoteshwa, wakati ndio huu. Ikifika 2015 kazi ni moja tu, kufanya kampeni na kumpigia kura mgombea wetu.... baaaasi...

Nina kuunga mkono kabisa..... haiwezekani nafasi kubwa kama ya U Rais wa nchi uipate kama mjumbe wa nyumba 10..... naona Mh. EL .... mtandao wake unazidi kukubali kila siku...
 
Back
Top Bottom