Maandalizi ya kuishi kwenye ndoa yanatakiwa yaanze mapema

Siku hizi ndoa maandalizi yanafanyika wakati wa sherehe tu, wanandoa watarajiwa huwaza namna gani atatokelezea, atakula na kunnywa na hani muni aende wapi huishia hapo tu, lakini huwa hatuwazi maisha baada ya sherehe yatakuwaje au tuyawekeje tuishi kwa mfumo gani, watoto tuwalee kwa mfumo gani hayo huwa hatujiandai nayo, thus why ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu hata kisaikolojia hatujiandaii kwamba naenda kuish na mtu ambaye simjui, nilikuwa nakutana naye mara chache tabia zake sijui 100% hivyo mambo huwa magumu kwetu
 
Kwa kweli ndoa za miaka hii ni za mwendokasi natamani turudi katika zama za jando na unyago ambako mwanamke na mwanaume walikuwa wanaandaliwa kwa maisha ya kindoa zaidi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo unakuta mtu ashatembeza kitobo kila mahali na anajua utamu wa kachori, kuku, kababu, kachumbari, khalmati alaffu anakutana na sungwi we unategemea nini sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom