Maana ya neno hili "kasi ya rais JK"

Lyangalo

JF-Expert Member
Sep 10, 2009
679
234
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari muda mrefu na watu mbalimbali wakilaumu kwamba watendaji wa JK wanamwangusha na hawaendani na "kasi yake". Ninashindwa kujua nini maana ya kasi hii kwa mfano:
  1. utasikia wanasema pinda haendi na kasi ya raisi ndo maana utendaji wa serikali unalegelega sasa tujiulize kati ya pinda na JK nani kafanya kazi zaidi ya mwenzeke? kama hata kusoma tu shheria zinazungwa na mambo mengi Jk anategemea brefings?
  2. Je ni kasi gani ambayo JK kaionyesha kwenye utawala wake ambayo twaweza kusema?
  3. Je ishu za richmond, EPA na mengine zimeshughulkiwa kwa kasi?
 
Kasi ya kusafiri nchi za nje
 
siasa inahitaji moyo lakini nafikiri kila mmoja wetu akipewa ka nafasi kama alopewa mh hatafanya chazaidi, tunapenda tu kutoa lawama
lazima upendelee mambo yako kwanza kisha wengine hata vitabu vya Mungu vinasema mpende jirani yako kama unavyojipenda kwa hiyo kajipenda kwanza then atawapenda na nyie kama yeye subirirni tu! NI NANI ATALETA MAENDELEO HARAKA BILA UPENDELEO? MCHAGUENI
 
Nadhani ili uconclude hivyo unahitaji kujua wewe kama baba ndani ya nyumba una jukumu gani.
Huwezi ukawa unatoa maamuzi kwa masuala machache tu.
Mfano Mh. amekaa kimya kipindi cha Richmond, kaficha ficha epa, na TRL. lakini ilipokuja wafanyakazi wanataka kugoma kainuka kwa nguvu zote. adi kutukana wafanyakazi.
Kwa hiyo wewe ukipewa utakuwa hivyo?
na kama watu mnaweza kuwa huvo basi jamani tusiguse hizo fomu za kugombea na tuunge mkono JK tu.
Lakini there is more to be done kuliko alivyofanya. na ujue ukuwekwa na mafisadi huwezi kuwakemea ila na usifikirie wote watawekwa na wahindi wa RITES au PATEL
Mwenye kugombea ngazi kubwa kama hiyo lazima awe zaidi sana ya JK.
 
Kwa nchi kama ya Tanzania upendeleo uliofanywa kwa hii miaka 5 haufai.
Inasikitisha kuona unajua kuwa anapendelea na bado unamfagilia
Haha ha ha haaaaaaa! teh teh teh eeeeeeeee!
Hilo nalo neno kwa upande wako.
 
Tunachokijadili hapa ni neno kasi ya rais, je ni kweli hili neno ni sahihi kutumika?
 
Kasi ya kusafiri nchi za nje
nami ungeniuliza nigekujibu hivo hivyo, kweli kusafiri ilikuwa kasi kweli kweli, na sasa kaja na kasi zaidi, maana take kwenda nje zaidi, jamaa alikuwa na kiu ile mbaya sana, sasa sijui exposure alikosa? make sielewi raisi unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, basi aifute hiyo wizara make haina tija tena kama rais ndo msafiri na mbembeaji
 
Nadhani ili uconclude hivyo unahitaji kujua wewe kama baba ndani ya nyumba una jukumu gani.
Huwezi ukawa unatoa maamuzi kwa masuala machache tu.
Mfano Mh. amekaa kimya kipindi cha Richmond, kaficha ficha epa, na TRL. lakini ilipokuja wafanyakazi wanataka kugoma kainuka kwa nguvu zote. adi kutukana wafanyakazi.
Kwa hiyo wewe ukipewa utakuwa hivyo?
na kama watu mnaweza kuwa huvo basi jamani tusiguse hizo fomu za kugombea na tuunge mkono JK tu.
Lakini there is more to be done kuliko alivyofanya. na ujue ukuwekwa na mafisadi huwezi kuwakemea ila na usifikirie wote watawekwa na wahindi wa RITES au PATEL
Mwenye kugombea ngazi kubwa kama hiyo lazima awe zaidi sana ya JK.

mbona kamanda hueleweki, kwani kikwete kuna chochote alichofanya ili mtu uwe zaidi yake ukitaka kugombea, mimi sijaona, ila nimeona vitu vingi kufa kama vile SHIRIKA LA Reli, ATCL, migomo katika kila sector, so mimi nimeona failure, labda mzee huna ubongo wa kufunua mambo na ndio maana unaona kikwete kafanya mambo mazuri, mimi naona mnenguaji tu wa mipasho zaidi ya kuwa raisi wa nchi
 
Ninachoweza kusema na kwamba jamaa hakuwa tayari kuwa Raisi bali alikuwa tayari kuitwa raisi kwa kasi.Nadhani hakujua na wala hajajua gharama ya kuwa rais,he does not have what it takes to be a presidaaa.....mzaha mno.Maamuzi madhubuti hana,ni bendera fuata upepo wa tumbo lake na wachache.Ushauri wa bure kwa kipindi kijacho kama atapita ajitahidi kuigusa jamii kwa kuitengenezea sera huru zitakazo hamasisha ukuaji wa uchumi na kujitegemea.
 
sizani kama ataweza kuigusa jamii nafikiri tunaweza kusikia wakisema ana kasi zaidi hivyo wasaidizi wanamchelewesha zaidi. lakini cha kujiuliza kama kweli yeye anajua kuwa anakasi kwanini achague watu kama mataka, sofia simba na wengine wengi wenye uozo wa aina hiyo kumsaidia? au na yeye yuko kwenye kundi lao?
 
Ni maneno ya upuuzi tu wa kujipendekeza kwa watanzania wapenda madaraka.

Kwani kuna kasi gani kwa kikwete? Hiyo mkuu wangu ni lugha ya kughiribu ya kumsafisha tu! hamna lolote.

Kwani umeshasikia wanamtaja ni mtendaji gani huyo asiyekwenda na kasi yake? Upuuzi tu huu wa kughiribu achana nao.
 
Hujawahi kusikia kuwa Mfano Pinda ameshindwa kwenda na kasi ya JK? Eti lowassa ndo alikuwa na kasi kama yake! Mie najaribu kutafakari kweli hili neno ni sahihi kwa kikwete? wakati wa mkapa tunaweza sema magufuli alikuwa na kasi ya kusimamia na kujenga mabarabara na tulishuhudia ukweli huu lakini kwa JK nikichekesho?
 
Back
Top Bottom