Maana ya nembo ya CCM hii hapa.

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Nembo ya Chama Cha Mapinduzi yenye NYUNDO na JEMBE,inatafsirika hivi:Nyundo kwajili ya kukupigia ukiwa mkaidi wa matakwa yao hadi kufa na jembe hutumika kuchimba kaburi kwajili ya mazishi.
 
halafu zamani kilikuwa na beleshi wakalitoa. Beleshi la kukufukia wakisha kutwanga nyundo ukafa na kuchimba kaburi na jembe.
 
we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe
 
we mkareee hizo nyundo zitawapiga wao wenyewe ngoja 2015, hiyo ni sawa na anaeguja jini akilikosea masharti linamuua mwenyewe

Kwel kabisa mwana,2015 hawa jamaa watangamia kwa silaha zao wenyewe na tutazika tu!
 
hii ya leo kali, wajiandae tutawafukia wenyewe.
mwosha nae huoshwa.
 
ni kweli kwa maana hii tuko pamoja mkuu, 2015 kaburi lao kwa juu lazima tuweke zege ili wasitoke umo milele
 
Back
Top Bottom