"Maana ya kuishi na mke kwa akili"

......hivi kichwani kuna ufahamu au akili?? Na moyoni ?

Kichwani kuna vyote akili na ufahamu! Moyoni hakuna 'akili'....labda ufahamu unaweza kuwepo!. Ingalikuwa ni mjadala wa kitaaluma, pengine ingetubidi tukubaliane kwanza maana ya 'ufahamu', 'akili' na 'moyo':smile-big:!
 
Michelle mpenzi apo naomba mwongozo, ukizini na asiye mwanamke, unakuwa na akili?:eyeroll1:

miili yetu ni hekalu la Mungu,na hekalu la Mungu lapaswa kuheshimiwa na kutumika kama Mungu anavyopenda.....japo kwa udhaifu wa kibinadamu tunakosea....sidhani kama kuna sehemu imeruhusu mwanaume kuzini na mwanaume mwenzie au mnyama au mdudu.....kwa hiyo,nafikiri afanyaye hivyo hana akili za kufanya maamuzi sahihi kama walivyo wazinio na wanawake...:help:
 
Kwa sababu mwanamke anaweza kusema "hapana" akimaanisha "ndiyo" and vice versa....!
 
mada za ndoa tu wiki hii mpaka kieleweke, michelle kasema yote soma kwa umakini

PASAKA IMEPITA SO MLANGO WA "I DO" UPO WAZI
 
Michelle mpenzi apo naomba mwongozo, ukizini na asiye mwanamke, unakuwa na akili?:eyeroll1:
Tendo hilo kati ya mwanaume na mwanaume haliitwi kuzini! Kama sijakosea kuzini ni kati ya jinsia tofauti. Hiyo ya ma-men tu ina jina lake nadhani na kati ya wanawake tu ina jina lake!!!
 
Back
Top Bottom