maana ya hili neno pls.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Baada ya ushindi wa Mnyika,na kwa nini amejifunika uso?
 
Attachments

  • IMG_5339.JPG
    IMG_5339.JPG
    64.1 KB · Views: 252
Baada ya ushindi wa Mnyika,na kwa nini amejifunika uso?
M'bebaji anajua hayo maneno hapo si mahala pake, ndo maana anajificha ! Kifupi anakusudia kusema: analolitaka Mwenyezi Mungu basi huwa !
" Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi kwa haki. Na anaposema: Kuwa ! Basi huwa (kun faya kun). Qur'an: Al An'am:6;73.
 
Asante kwa elimu.
 
Ahsante kwa Ilmu akhera mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom