Maana na tofauti ya maneno; kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
10,352
9,805
Salaam wakuu.
Naomba kujuzwa maana ya maneno kutambua,kujua,kufahamu na kuelewa.Maana watu wamekuwa wakichanganya kwenye mazungumzo maneno haya na wakati mwingine kuleta tafrani.Mfano mtu anaweza kumwambia mtu 'nakujua', na akajibiwa kwa ukali 'hunijui wewe!unanifahamu tu!'.Naomba mnisaidie kudadavua..
 
Watu wako kwenye nyuzi za ngono huku hawaoni!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom