Maamuzi ya spika makinda juu ya Zitto

Zitto, Lissu na Lema huyu bi kiroboto akitaka tu kuupotezea uthibitisho huu, mu mkomalie mpaka abwage manyanga yeye mwenyewe. Sasa hivi ana only one option, either hao mawaziri or yeye mwenyewe wabwage manyanga. Kunkoma nyani giladi.

lazima hapo kwenye red kuna tatizo.
 
Inakuwaje? Zitto alisema Baraza la Mawaziri 'wamepewa ushauri mbaya'',lakini wale mawaziri wawili wameuliza,kwa nini Zitto anasema tumerubuniwa? Zitto anaongea kuhusu ushauri wale mawaziri wanaongea kuhusu 'lobbyists'
 
Yatakuwa yale yale ya Lema, wakizidiwa wanaweka ushahidi kwenye kabati, huyu Bibi Kiroboto bure kabisa
 
Hawa Waropokaji wanaojitafutia umaarufu kwa Nguvu njia nzuri ya Kuwamaliza ili jamii ipate Ukweli kwa yale wanayoyasema ni kuyathibitisha.
 
Zitto ameingia choo cha kike safari hii, nyaraka alizokuwa anazitaka ni siri, haiwezekani mtu km yeye kuzipata, asubiri rungu tu la Bunge !

Umesahau kuwa wahukumu siku zote ni wananchi na sio viongozi na ndio sababu vyama vinapanda chati na kuanguka, hili la Zitto vyovyote vile spika atakavyoamua haviwezi kubadili hukumu ya wananchi kwa ccm na serikali yake, wananchi hawaiamini tena serikali ya ccm na viongozi wake na kwataarifa yako pia wanafuatilia kwa karibu sana vikao vya bunge letu.

Kwahiyo ndugu yangu hapo alipo mh spika anaweza kusaidia chati ya Zitto kupanda maradufu kwa wananchi japo atamfedhehesha ndani ya ukumbi wa bunge.. usiwe msahaulifu kumbuka "BUZWAGI"
 
Serikal n ya wananchi wote wa nchi hii, na badala ya sis sote kukusanyikia dodoma kufanya maamuz na hata kuwadhibit wale tlowapa dhamana ya kuendesha shughul za serkal,tnawachagua wakutuwakilisha ambao ndo wabunge. sasa ZZK kama mbunge kna nyaraka gan za siri kwake? Na ww unaupeo mdogo wa kufikr yaan huelew kunyimwa kwa ZZK hzo document n kuwanyima wa kigoma kaskazn na watz kwa ujumla sasa nan mwenye nazo? ZITTO JUUUUUUUU!
 
Back
Top Bottom