Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.

Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.

Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.

Stay tuned...

MHH kama hawa jamaa wanaona Sitta anafanya vibaya kule Dom na kukibeba chama cha kijani kwa sana bado hawataki wanataka awape tonge mdomoni? Lakini si kosa lao kosa ni chama hicho kutokuwa na wasomi wenye vision kwani kama umesoma lakini elimu uliyonayo haikusaidii means hukusoma.

Wacha tuone mwishowake.
 
Hakuna kitu hapa. Watayamaliza kimya kimya tu na hakuna mtu kutoka CCM. Si wanajua yaliyomkuta Mrema!!! Unafikiri kuna mwanaCCM anaubavu wa kujaribu nje ya chama kilichoshika utamu???
 
Haya huku Six anabanwa kwa kuwabana mafisadi....upande mwingine wa nchi, Mahakama kuu inamwachia Zombe na timu yake.....huruuuuuuuuuuuu!.........?????? Sina pozi kabisa.......!
 
Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.

Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.

Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.

Stay tuned...
huo ndo msimamoo wao walio wengi ccm kwani ufisadii ni uahi wa chama.

je kwa nini sitta anatumia kiti cha uspika kuufunuaa ufisadii wa chama na serikali yake??

wana ajenda wanachama wenzake na muhimu wakatafari uhai wao zaidi kulikoo umaarufuu wa watu katika kuwaaibishaa...
 
Hamis Mgeja kwa kabila ni Mnyiramba mwenye mchanganyiko na Uarabu. na amekulia sehemu moja inaitwa Didia- Shinyanga Vijijini, na hakumaliza Elimu ya Msingi, na alikuwa akijihusisha na kuuza karanga kwenye treni reli ya kati na wakati mwingine akifanya shughuli za uchomozi - pick pocket.

Alianza kuibuka baada ya kuhama Didia na kuhamia kijiji cha Kilago wilaya ya Kahama ambako baadaye alipata udiwani. Yeye hana udugu wa damu na Marehemu John Mgeja aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani na Mbunge wa Solwa. Alichukua jina hilo kwa ajili ya kupata umaarufu kisiasa baada ya kuwa mpiga debe wake.

Baada alikuwa mpambe wa Marehemu Mohame Bhiku aliyewahi kuwa MBunge w Kahama na Solwa na ndiyo aliyeamua kumnyanyua kisiasa na kumsimamia hadi kuwa diwani na wakati mwingine kushika wadhifa kama Mkiti wa UVCCM Mkoa wa Shinyanga.

Baadaye akawa Mkiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kahama lakini kutokana na watu kumchoka wakaamua kumshawishi agombee ubunge katika uchaguzi wa 2005, wakijua kuwa atashindwa, akaanguka na Lembeli akapita, na hadi leo hapatani na lembeli.

Waliyomnyanyua na kufika kuwa mkiti wa CCM mkoa wa shinyanga ni pamoja na mtu mmoja anaitwa Phantom ama Hilal Soud ambaye aliiba fedha uarabuni ambako alikuwa mhasibu Jeshini na kukimbilia Shinyanga, huyu jamaa ni MNEC wa Shinyanga, amenyanyang'anya ardhi ya wananchi wa Maganzo kwa ajili ya mgodi wa almasi hadi leo hii hajawalipa fidia, na alipewa - eneo la diamond protected area ambalo lilikuwa likilindwa na sheria ambayo waziri wa Madini Yona aliifuta ili kumruhusu Phantom kuchukua eneo la mgodi.
 
huyo mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga ni nani? Mbona anakuwa Mjinga hivyo, wakati watu waliopata maafa ya Ufisadi ni wa Mkoa wa Shinyanga, maana madini yamechukuliwa, wakati miundo mbinu ya mkoa ni duni, elimu duni, umeme kimeo etc

Huyo ni Kibaraka wa Chenge
 
Mgoyangi,

Many thanks kwa hiyo background murua ya huyo Mgeja! CCM Kweli kumejaa mafisadi tupu!
 
Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.

Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.

Kaka you are right, I know this guy. By the way huyu jamaa kichwani hamna kitu na nadhani ndo maana anatumiwa na mafisadi kupenyeza agenda zao. Lowassa na Rostam wananguvu sana katika CC na NEC, especially NEC kwa kuwa na watu wengi wa design ya Mgeja
 
Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.

Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.
hapo sitta awe jasirii wa kuilinda nafsi na upeoo wakee zaidi ya tumboo lakee...tusubirii tuoneeee
 
huyo mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga ni nani? Mbona anakuwa Mjinga hivyo, wakati watu waliopata maafa ya Ufisadi ni wa Mkoa wa Shinyanga, maana madini yamechukuliwa, wakati miundo mbinu ya mkoa ni duni, elimu duni, umeme kimeo etc

August, wewe unaangalia kiraia... lakini kumbuka wao [wa-NEC] wanaingalia hali yote around bunge ki-CCM na hasa ki-NEC. they are on a different side of the world na sisi

and the only way to get away from this scenario ni kufanya mageuzi ya kiitikadi ili tuwe na msimamo wa kizalendo zaidi kuliko wa kisiasa [ki-CCM] zaidi

I am feeling very sorry for Sitta but i hope he gets through even stronger
 
- Bado kikao kinaendelea na kuna mvutano sana huko ndani, nimeongea na mjumbe mmoja aliyekuwa ametoka nje kidogo, so far dataz zenye uhakika ni toka jana juhudi za kutaka ku-reconcile makundi yaliyoko ndani ya CCM kuelekea uchaguzi wa 2010 kutokana na kauli nzito ya JM, ambaye the dataz ni hakutaka kuhudhuria kikao hiki toka last week amejificha UK,

- Ni mvutano ambao bado unaendelea hadi sasa what to do na makundi, kundi la "mashujaa" likiongozwa na Six, linagoma kata kata any reconciliation bila ya ishu ya mafisadi kushugulikiwa kama ilivyo ndani ya CCM, so far mafisadi wanajaribu kutafuta a common ground, lakini uwezekano wa kuelewana according to huyu mjumbe ni zero!

Respect na Later, more dataz wakimaliza kikao!

Respect.

FMEs!
 
Mungu Baba yetu uliye Mbinguni. Angalia nchi hii hawa NEC ya CCM wanaiona ya kwao. Angalia baba wametumalizia kila kitu na hata hiki ulichotuoonyesha nacho wanataka kulamba.

Mungu baba napiga magoti ili uwape ufahamu ili NEC ya CCM wamfukuze Sam Sita ili maandikao ya mwana wako Mwanakijiji yaanze kuonekana na hatima nchi hii irudi kwa kizazi chako.

Mungu baba, kuanguka kwa CCM ndio pona yetu sisi vijana na kizazi kijacho na vivyavo.

Kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu. AMEN.

Tanzania Tanzania... Nakupenda kwa moyo wote......NIPO TAYARI KUFA KWSA AJILI YAKO....
 
- Ni mvutano ambao bado unaendelea hadi sasa what to do na makundi, kundi la "mashujaa" likiongozwa na Six, linagoma kata kata any reconciliation bila ya ishu ya mafisadi kushugulikiwa kama ilivyo ndani ya CCM, so far mafisadi wanajaribu kutafuta a common ground, lakini uwezekano wa kuelewana according to huyu mjumbe ni zero!

FMES,

Kuna mdau mmoja amesema kilichoendelea hapo Dom ni kuwa Six kaachwa pekee yake ukiacha Mama Sitta wengine wote wamemkimbia, sasa hilo kundi la Mashujaa limekujaje hapo?

Na je, utetezi wa Six aliyeombwa kufanya hivyo na JK umeendeaje huko?
 
I am feeling very sorry for Sitta but i hope he gets through even stronger

- Worry who? Six? hapana he is just fine, the last thing Mtandao wanaweza kufanya ni kumchokonoa Six, kwenye one on one level hawawezi ku-afford hilo Spika ambaye amewapa wabunge wa sasa malipo ya ajabu sana, hawana ubavu wa kumgusa,

- Labda wakamkabe koo kwenye kugombea ubunge ambako the dataz ni kwamba wako naye huko sambamba sana, CCM haiwezi kummyamg'anya kadi a sitting Spika, ambaye amemsaidia sana Muungwana kumuondoa adui yake namba moja EL na besides,

- Kumnyanga'anya kadi Six, no! Muungwana does not operate that way kwa sababu itakwenda against the rules za ku-maintain popularity yake, ndio maana Msekwa alirudishiwa mlo.

Respect.

FMEs!
 
Mungu Baba yetu uliye Mbinguni. Angalia nchi hii hawa NEC ya CCM wanaiona ya kwao. Angalia baba wametumalizia kila kitu na hata hiki ulichotuoonyesha nacho wanataka kulamba.

Mungu baba napiga magoti ili uwape ufahamu ili NEC ya CCM wamfukuze Sam Sita ili maandikao ya mwana wako Mwanakijiji yaanze kuonekana na hatima nchi hii irudi kwa kizazi chako.

Mungu baba, kuanguka kwa CCM ndio pona yetu sisi vijana na kizazi kijacho na vivyavo.

Kwa jina la Baba, na Mwana na Roho Mtakatifu. AMEN.

Tanzania Tanzania... Nakupenda kwa moyo wote......NIPO TAYARI KUFA KWSA AJILI YAKO....

Amina, na iwe
 
Kwa kweli hii ni tabu tupu. Sitta kweli ni muwazi na aendelee na msimamo huo huo kwani wanaccm hawakubali kuitwa ni majambazi. Hata Makamba mwenyewe anadai ccm ni chama safi. Naona bora wangempiga chini makamba kwanza, then mambo mengine yaeendelee.
 
Nyepesi nyepesi zinazojiri kutoka NEC ya CCM Dodoma jana Spika Samwel Sitta kawekwa mtu kati kwa namna anavyolipeleka Bunge mpera mpera.

Miongoni mwa wachangiaji waliomshambulia wazi wazi ni Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ambae bila kumung'unya maneno alimwambia Sitta alirudishe kadi ya CCM. Kwa ujumla wachangiaji wengi wameonyeshwa kutoridhiswa na utendaji wa Sitta isipokuwa wawili tu Eng Stellah Manyanya na Mh John Shibuda.

Chungu kimefunikwa na kikao kinaendelea leo ambapo tusishangae kusikia Sitta kasitishwa U-Spika.

Stay tuned...

Nadhani sasa kila anae litakia mema Taifa hili anaamini kuwa tunaelekea tulipo kuwa tunapataka.maana watchujana kama maji na mafuta mwisho wa siku chama kitagawanyika kisha sasa hata yale waliokuwa wanayakalia wakidai ni kwa ajili ya usalama wa taifa yatawekwa adharani.
 
FMES,

Kuna mdau mmoja amesema kilichoendelea hapo Dom ni kuwa Six kaachwa pekee yake ukiacha Mama Sitta wengine wote wamemkimbia, sasa hilo kundi la Mashujaa limekujaje hapo?

Na je, utetezi wa Six aliyeombwa kufanya hivyo na JK umeendeaje huko?

- Mkuu wangu kwanza ni lazima u-establish kwamba Six na Muungwana ni maadui, na ukweli ni kwamba they are not kwa sababu Six siku zote ni messenger wa Muungwana.

Respect.

FMEs!
 
FMES,

Kuna mdau mmoja amesema kilichoendelea hapo Dom ni kuwa Six kaachwa pekee yake ukiacha Mama Sitta wengine wote wamemkimbia, sasa hilo kundi la Mashujaa limekujaje hapo?

Na je, utetezi wa Six aliyeombwa kufanya hivyo na JK umeendeaje huko?

Leo utaskia mengi humu, wewe kaa mkao wa kula tu halafu chagua minofu na tema mifupa. Kwa sasa kila mtu ni mjuaji mpaka hapo habari itakapo kamilika.
 
Back
Top Bottom