Maamuzi niliyoyafanya juu ya mke wangu..

Kwa hiyo sasa anabebeka? Haya wataka aache kaz je we kipendwa na mungu zaid ye taishi vp?kwa nn sichukue na mtoto mkaenae huko!mdau changa karata zako vzur talamba galasa kimaamuz!
 
Du hapa umeniacha hoi kabisa,kwa mtazamo wangu issue ilikuwa kumpunguzia pesa ya matumizi au yeye kukuelezea mchanganuo wa matumizi.sasa naona umelikoroga kabisa,mkeo atakuina we dikteta mkubwa kwa mambi haya.
Kumnyanganya mtoto
Kumtoa katika nyumba
Kumshauri aache kazi wakati hata viza huna
Pesa ya matumizi kuchukua kwa wazaziaa.
Jamaa yangu mwanamke mwenye akili kwa vipengele hivyo ataomba talaka au ataanza kujua ndoa ndio imeisha kabisa,hapo me naona unavunja ndoa na sio kujenga.
 
Back
Top Bottom