Maamuzi mabovu yaiua Azam FC Tanga Simba yashinda 2-1

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
Maamuzi mabovu ya mwamuzi Mathew Akrama yamepelekea timu ya Azam FC kupoteza mchezo wake wa pili dhidi ya Simba SC kwa kuruhusu kufungwa 2-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani, Tanga.



Katika mchezo huo mwamuzi huyo aliweza kutoa maamuzi ya upendeleo wa wazi kwa kikosi cha Simba kwani dakika ya 12 ya mchezo mchezaji wa Azam FC, John Bocco alipewa kadi nyekundu katika mazingira ya kutatanisha.

Maamuzi mabovu yaiua Azam FC Tanga Simba yashinda 2-1 | The Official Website of Azam Football Club
 
ungeanza na results ndo uje na komplein.... duh unazi hadi nanihino
 
its all facts
Kweli unazi unakusumbua! Kama unasumbuliwa na red card ya John Boko,hata sisi tunasumbuliwa na ile ya Uhuru. Au umeumia kwa vile wachezaji 5 wa Azam walicheza Algeria na wamefungwa na wachezaji 0 waliocheza Algeria! Utaumia zaidi kwani hata msimu huu kuna dalili kuwa hatupo tayari kupoteza points tuna njaa kama ya msimu uliokwisha
 
its all facts
facts zipi??

kwamba mpira uliisha mbili moja au kwamba maamuzi yalikua mabovu??? the first one ndio yenyewe haswaa, na ya pili ni perception

pole mkuu changanya kongoro kwenye mechi ijayo

mt
 
Back
Top Bottom