Maamuzi haya ya Bunge juu ya misamaha ya kodi nchi imesalitiwa

DENNING

Senior Member
Jun 22, 2011
174
109
Kama tutaenda namna hii, wabunge wanapitisha maamuzi kwa ushabiki wa vyama, sijui nani sasa anatafuta kuleta vurugu nchi hii tuipendayo mno?. Kweli mwekezaji afanye biashara zake kwa miaka kumi pasipo kulipa kodi na uamuzi huu ukitetewa kwa hoja dhaifu, eti kisa halmashauri zitapewa fedha na serikali kuu?. Hapana nadhani wasiasa hasa wabunge wa ccm mnatutafuta ubaya, na mtatutpata tu.
 
Tunakoelekea sio kuzuri. Kigwangala keshasahau kwamba aliongoza maandamano kupinga mgodi wa Resolute nzega, mara kageuka bungeni na kuunga mkono serikali kusamehe kodi wafanyabiashara wakubwa ili kuvutia wawekezaji. Ahsante Lissu kwa kumkumbusha, maana tulimuona alivyolowa baada ya kukumbushwa ishu nzega.
 
Back
Top Bottom