Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Maalim eti anataka rais ajae 2015 atoke Zbar ili awe mwislam.
Rais aliyepo Muislamu, makamu wake muislamu, rais wa zenji muislamu, wanataka nini cha zaidi? After all I hvn't seen presidential material from zanzibar. Jamaa wamezubaa sana.