Maalim SEIF kuunguruma mkutanoni KESHO(Jumapili) DAR ES SALAAM

Huyu mfuasi wa Uamsho anafuata nini bara? Naona anakuja kutoa tamko kibaraka wao Ponda aachiwe mara moja.
 
Hata mimi ninajiuliza huyu mtu ana tatizo gani. Hataki Tanzania iwepo lakini bado anakuja Tanganyika kuhutubia. Si asusie tujue kweli ana msimamo kuhusu madai yake ya Zanziba huru? Ama kweli hajui alifanyalo!
Anatafuta nini Tanganyika? Hataki kuachana na koloni?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hata mimi ninajiuliza huyu mtu ana tatizo gani. Hataki tanzania iwepo lakini bado anakuja tanganyika kuhutubia. Si asusie tujue kweli ana msimamo kuhusu madai yake ya zanziba huru? Ama kweli hajui alifanyalo!

watoto wa chadema na fikira mgando ; kazi ipo
 
Atakuja lini mbeya yaani yeye dar kwake ndio kuna mafilauni wenzake aje huku ulipokuja kiwete mwaka juzi na kushuhudia mawe yakitupwa........
 
SEIF MFAHAMISHE KIKWETE KUHUSU HILI
Bakwata ni chombo kinachotambuliwa rasmi na serikali kama wasemaji wakuu wa waislam Tanzania. Unaelewa waislam wapo madhehebu mengi lakini hawana uwakilishi katika Bakwata, Uongozi wake mara nyingi unakuwa watu wachache na wasio kuwa na sifa hili linalifanya Bakwata likose sifa ya kuwa msemaji wa waislam pia Utendaji wake umekuwa ukipigiwa kelele na waislam miaka nenda miaka rudi lakini mara nyingi wameshindwa kwa vile serikali imekuwa ina wa kingia kifua.

Hali hio imepelekea Bakwata kutokuwa na support yoyote kutoka kwa waislam Tanzania.Na athari zake ndio hizi inapotekea matatizo kama haya serikali inamleta shehe wa Bakwata kutuliza watu lakini ukweli hakuna anaemsikiliza.hivyo kuna ombwe kubwa baina ya serikali na waislam wa nchii Jambo ambalo sio jema likaachwa kuendelea

NINI CHA KUFANYA ?
Napenda kutoa ushauri kwa Rais Kikwete kutumia busara na kulivunja BAKWATA mara moja.Naelewa hili si suala la serikali lakini ushahidi upo kwamba nyerere aliivunja jumuiya iliyokuwepo kabla ya Bakwata"kwa lengo la kuwapa waafrika uongozi wao wenyewe wa kiislam na kuleta maendeleo" lakini lengo hilo halikufikiwa.
Pia ni vyema kwa serikali kuwa na uhusiano na jumuiya ambayo inasikilizwa na wanajumuiya,ukweli sasa hivi Bakwata haina ushawishi wowote kwa waislam.Inapotokea matatizo kama haya Serikali ili kutuliza jazba na fujo inahitaji kuwa na ushirikiano na chombo kinacho kubalika ambapo akisimama kiongozi wao atasikilizwa.
Tumeona kamanda Kova na MKuu wa mkoa mara 2 ndani ya TV wakiwa na mkuu wa Bakwata wa Dar es salaam, sheikh Hadi lakini waislam hawa kumsikiliza kwani kwa wasilam sasa hivi Bakwata ni kama majizi tu na hawana faida yoyote kwa maendeleo yao.
Utaona bakwata wali rithishwa mali zote ya iliyokuwa jumuia ya waislam enzi hizo kazi yao kubwa ni kuziuza hizo mali na viwanja.
Bakwata tangia wakati huo hawakuweza kuleta maendeleo yoyote kwa waislam si katika elimu , afya na maendelo ya uchumi, hawana dira ni kichaka cha wachache kinacho hujumu mali za waislam

Ana chotaka kufanya Nchimbi ni muhimu sana,serikali inatakiwa lazima iwe na uhusuano mzuri na makundi ya jamii ikiwa ni dini ama makundi mengine,hivyo wakati wa kukumbatia Bakwata umeisha kwani serikali inajiweka mbali na waislam kwani bakwata haina mvuto tena.

Bakwata inafanya inavotaka na kufisadi mali za waislam na kwa sasa bakwata baada ya kuona hawana waislam ambao wapo nyuma yao wanauza mali hizi kwa kasi ya ajab.

Waislam wana haki na mali hizi, hivi wiwanja na nyumba sio za Issa bin SImba au Al had hawana haki ya kufanya ufisadi na serikali ikawa upande wao.
Na pia nina neno kwake Mheshimiwa rais kama kiongozi wa nchi una wajibu kuona amani haitoweki kutokana na hili na kwa vile na wewe ni muislam unalo jukumu kubwa kuhakikisha suala la Bakwata unalimaliza kabla ya muda wako wa urais haujaisha
Livunje hili baraza na badala yake haraka uunde kamati ya muda ambayo itatoka kutoka madhebu yote ya waislam tanzania.Kumbuka Bakwata ndio baraza linalo tambuliwa na serikali kuhusu mambo yote ya waislamu.
hivyo ni vyema kamati hio ikatoka kutoka madhehebu yote ya waisalm mfano sunni,shia,ibaadhi,bohora,ansari na wengineo.
kazi ya kamati hii ya muda itakuwa ni kuhakiki mali zote za waislamzilizopo na zilizouzwa kwa njia ya udanganyifu na kama kuna wizi sheria ichukue mkondo wake.

Pia hio kamati itatakiwa kutengeneza katiba ambayo itapitishwa na misikiti yote
uwekwe utaratibu wa kuchagua viongozi wapya ambao uwe wa wazi na wanaokubalika.

nakuhakukishia mheshimiwa rais utakuwa umewafanyia hisani kubwa wasilam wa nchii na kwa taifa lako.matatizo mengi haya yataisha kwani kwa hali ilivo sasa inaonekana kama serikali wao na Bakwata lao moja.
hili inawezekana na pia naamini kama ulivokuwa na ujasiri wa kuwapatia watanzania katiba mpya basi na hili utaweza.
Allah akupe nguvu ufanye wema kuepusha shari ya kukumbatia baraza lisilo takiwana utaondoka kama shujaa wa kweli kutafuta suluh
u katikatatizo kubwa lililo kosa ufumbuzi kwa muda mrefu.
 
maalim seif ni kirusi....... Sijui kwa nini hakifi halafu kinapenda kweli madaraka...hapo kilipo bado kina ndooto za kumng'oa ali shein uraisi...hakuna chocchote mtu huyu..askari wake kauwawa yeye anaona sawa tu.......mdini , mbaguzi , mgawanyaji, mbinafsi, mwarabu, mchonganyishi, mpiganishi, mkorofi, bedui, muamsho...........kila sifa mbaya ya nchi hii ni yake......ali shein muangalie vizuri huyu ...zanzibar anayoihubiri ikipatikana atataka uraisi, akiupata sawa.....akiukosa........atachukua pemba yake awe sultani wa pemba.... Yangu macho......mtu gani asiyefaninania utu uzima...

kweleakwelea sifa zote hizo ni za Seif?????? Japokuwa simkubali lakini umetia chumvi sana.
 
Last edited by a moderator:
Amekuja kuomba talaka, ndoa imemshinda , nasikia mume mwenyewe very unfaithful, cheater.
 
Huyu babu anakotupeleka siko kabisa,watanzania tumuogope mtu huyu kama ukoma,na sasa kwa nini tusiamini tanzania sasa ni nchi ya kiislamu?Hivi ni kweli mtu na akili zake anaweza akaruhusu mikutano ktk kipindi hiki ambacho hali bado ni tete?Tunachokitarajia ni nini kama sio kuhalalisha vurugu zingine.Viongozi mnakotupeleka ni ktk vita ya kidini na wakubwa wameridhia watanzania wafe.
 
Seif aje ahutubie watanganyika kama alivyowahutubia wana uamsho aseme vilevile, na arudie vilevile wengine ndo tutamuelewa labda.
 
Huyu mwana uamsho hana jipya zaidi ya kuhangaikia tumbo lake kwa kutumia jembe liitwalo CUF na ardhi iitwayo Zanzibar huru.
 
Back
Top Bottom