Maalim SEIF kuunguruma mkutanoni KESHO(Jumapili) DAR ES SALAAM

Feb 26, 2012
39
42
MAALIM SEIF Kuunguruma KESHO Jumapili (21/10/2012)Jijin DAR ES SALAAM(Mkutano wa Hadhara utakuwa Buguruni Shell) Kuanzia saa 8 mchana.

maalimseif.JPG
 
Sijui atatoa tamko na yeye..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu jamaa si mwelewi hataki muungano lakini kila kukicha anakuja kufanya mikutano kwetu...
 
Kweli hapa kuna tatizo sio bure ni kigeugeu huyu zaidi ya nyoka huku bara anakuja kufanya nini wakati haitaki Tanganyika na muungano??? Ni mwongo, mnafiki na muuwaji tena mlafi wa madaraka . Anakuja huku kama nani? Mzanzibar, makamu mwenyekiti wa CUF au makamu wa pili wa Zanzibar?
 
aulizwe anautaka muungano au hautaki? Yeye na wafuasi wake Zanzibar wanadai waachwe wapumue huku anafuata nn? Kaja kutunyima na cc pumzi?
 
aseme alimficha wapi farid wa uamsho........

Badala ya kulifanya hili jukwaa liwe la kujengeana hoja naona sasa limekua na vituko vya kitoto zaidi ya facebook! Ndio maana wenye heshima zao wamekimbia na majuha wanachukua nafasi tena wanatumia mbinu mpya ya kutumia user name za kiislamu katika kuukashifu uislamu. Kweli Tanzania nchi ya ajabu sana duniani!!
 
Kweli hapa kuna tatizo sio bure ni kigeugeu huyu zaidi ya nyoka huku bara anakuja kufanya nini wakati haitaki Tanganyika na muungano??? Ni mwongo, mnafiki na muuwaji tena mlafi wa madaraka . Anakuja huku kama nani? Mzanzibar, makamu mwenyekiti wa CUF au makamu wa pili wa Zanzibar?

Kama munaweza mapambano na Wazanzibari akija huko mfanyieni ishu muone mziki wetu mnene, leo tulishakusudia kujilipua kwa kujitoa muhanga kama Sheikh wetu wasingemtoa! Au hujaöa kama tumetoa masaa 26 awe amesharejehwa? Tumeamua kula sahani moja na wale wote wanaoleta Ujinga mbele ya viongozi wetu.
 
Lazima awafate waislamu wake Tanganyika, kwani ahadi yake ya dola ya kiislamu yaani kimbilio la waislamu endapo makafir watawaita magaidi kuwa hii ahadi ni ya waislamu wote mpaka wa Tanganyika?
 
Badala ya kulifanya hili jukwaa liwe la kujengeana hoja naona sasa limekua na vituko vya kitoto zaidi ya facebook! Ndio maana wenye heshima zao wamekimbia na majuha wanachukua nafasi tena wanatumia mbinu mpya ya kutumia user name za kiislamu katika kuukashifu uislamu. Kweli Tanzania nchi ya ajabu sana duniani!!

1. Mbona kituko cha kitoto cha kukojolea kuran mlishindwa kukivumilia na kuanza kuchoma moto makanisa?
2. Watoto unaowadharau wana akili kuliko waislamu wanaochinja polisi huku shehe wao kajifisha vijijini kwa woga unaozidi ule wa watoto wadogo.
 
yaani hizi internrnt za bure za wajanja basi hii forum sasa imejaa watu wajinga wajinga
imekuwa hata haina maana kabisa

shehe! si useme tu ulimficha wapi farid na kumpa ubwabwa na nyama.......
vidini vingine bhana!
 
maalim seif kuunguruma kesho jumapili (21/10/2012)jijin dar es salaam(mkutano wa hadhara utakuwa buguruni shell) kuanzia saa 8 mchana.

View attachment 68810

maalim seif ni kirusi....... Sijui kwa nini hakifi halafu kinapenda kweli madaraka...hapo kilipo bado kina ndooto za kumng'oa ali shein uraisi...hakuna chocchote mtu huyu..askari wake kauwawa yeye anaona sawa tu.......mdini , mbaguzi , mgawanyaji, mbinafsi, mwarabu, mchonganyishi, mpiganishi, mkorofi, bedui, muamsho...........kila sifa mbaya ya nchi hii ni yake......ali shein muangalie vizuri huyu ...zanzibar anayoihubiri ikipatikana atataka uraisi, akiupata sawa.....akiukosa........atachukua pemba yake awe sultani wa pemba.... Yangu macho......mtu gani asiyefaninania utu uzima...
 
Huyu jamaa ni mnafiki...akiwa Bara anajifanya anatupenda sana wabara, akiwa na UHAMSHO wenzie anatutukana wabara akisema vijimaneno vya kanga ati, tuacheni tupumue.
 
Back
Top Bottom