Maalim Seif kumpindua Prof. Lipumba ?

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Wakati mgogoro wa ndani ya CUF baina ya Hamad Rashid na makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif ukizidi kushika kasi, hatimaye Maalim Seif amejitokeza na kuonyesha wazi nia yake ya kumpinga Prof. Lipumba ni baada ya kutoa kauli kuwa "Rais ajaye lazima atoke Zanzibar" huenda nia yake ni kugombea urais Bara?

Source: ITV
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom