Hapa Mwanza alipokelewa kwa heshima zote, na leo kasindikizwa hadi MAGU kwa escort maalum kabisa. Jana walionekana wananchi wachache sana, hata 10 hawafiki wakipeperusha bendera za CUF wakati akipita mitaani/ barabarani
Hivi kama katiba ni mkataba Kati ya viongozi na wananchi inakuaje mkataba unavunjwa na wananchi wanakosa pa kuanzia kudai haki? Jibu ni kwamba katiba tuliyonayo ni ya viongozi na si ya wananchi. Tuitupe.
hivi ninyi wafurukutwa wa chama cha maandamano na migomo mmekosa cha kuongea ila ni kumsema maalim sefu na kufuatilia ziara zake mpaka chooni? sefu ni mtanzania, katibu mkuu wa cuf, na zaidi ni makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar ambayo KATIBA yake inatambuliwa rasmi na katiba ya muungano hivyo acheni ubaguzi wenu na upuuzi wenu ninyi wana chama wa chama cha maandamano na migomo.
SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE.....
in short angekuwa katibu wako slaa usinge hoji. So nivema ukatulia. Itifaki imezingatiwa yule ni kiongozi. Wht do you espect atembee bila ulinzi. Chukulia tu hata makamu wa rais wa tanzania akiwa na ziara za mikoa hata za kibinafsi na kichama lazima awe na ulinzi. Yule ni makamu wa nchi ya zanzibar popote duniani anapokwenda hupata heshima kama hiyo unayo ilaumu by they we nimdogo huwezi jilinganisha na maalim kama hujui fuatilia historia huyu ndo wapili baada ya nyerere ndo wenye kujua siri ya nchi. Hebu fuatilia sio tu uropoke.
watu nashanga mnasema katiba imevunjwa. Hamkumbuki zanzibar kulikuwa na kula ya maoni waliopendekeza serikali ya umoja.
Nahisi naanza kuelewa kwa nini serikali inaajiri polisi wengi kuliko waalimu........!