kamangaza25
Member
- Apr 11, 2011
- 41
- 20
Hivi huyu mpemba kilasiku kukicha analaani muungano, halafu kukisha yuko kwetu,sasa sijui tumuelewe vipi ?
hivi ninyi wafurukutwa wa chama cha maandamano na migomo mmekosa cha kuongea ila ni kumsema maalim sefu na kufuatilia ziara zake mpaka chooni? Sefu ni mtanzania, katibu mkuu wa cuf, na zaidi ni makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar ambayo katiba yake inatambuliwa rasmi na katiba ya muungano hivyo acheni ubaguzi wenu na upuuzi wenu ninyi wana chama wa chama cha maandamano na migomo.
Simple mind discuss people.....
Maalim Seif nadhani akiwa kwenye Ziara za Tanzania bara anatakiwa kuwa kama katibu mkuu wa chama chake na si kama Makamu wa Rais smz..Sasa hapo wasomi wanaiojua Katiba ya njii waseme what next..
hivi ninyi wafurukutwa wa chama cha maandamano na migomo mmekosa cha kuongea ila ni kumsema maalim sefu na kufuatilia ziara zake mpaka chooni? sefu ni mtanzania, katibu mkuu wa cuf, na zaidi ni makamu wa kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar ambayo KATIBA yake inatambuliwa rasmi na katiba ya muungano hivyo acheni ubaguzi wenu na upuuzi wenu ninyi wana chama wa chama cha maandamano na migomo.
SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE.....
hawa polisi wamedata sana hawana aibu seif ni nani kwenye serikali ya muungano mpaka apoteze muda wa askari wetu ,azuie shughuli za wananchi,huu ni wizi wa wazi hatumjui sisi seif huku kwetu tanganyika
tanganyika hatuna umoja wa kitaifa wala tanzania hicho kitu hakipo. Ana maeneo mengi ya kufanya ziara na kukagua shughuli za maendeleo huko kwao, kwa nini aje atumie na rasilimali za bara? Fikiria vizuri aisee
ndo atumie polisi wa tanzania? Ndo atumie magari ya serikali ya tanzania? Ndo afunge road ili yeye apite?
Katishiwa kuvuliwa ukatibu, msasa anaganga kila kona. Kwani kikwete anayeenda kila mara, bagamoyo hawako?
Hivi huyu mpemba kilasiku kukicha analaani muungano, halafu kukisha yuko kwetu,sasa sijui tumuelewe vipi ?[/QUOT
KAMA HUELEWI SASA HV HAUTAELEWA KABISA...TATIZO KAZIRA KAMAEKUUUMAAAAAAAAAAAA SAAAAAAAAA.JINYONGE.HARAKATI ZITAENDELEA
hayo nimawazo yako na unauhuru wa kufikiri hivyo ila ukweli na uhalisia uko pale pale kuwa wenzetu wa zanzibari wameamua kupitia katiba yao kuwa na serikali ya mseto na kumaliza uhasama uliokuwa ukichochewa na mahasidi wa huku bara hivyo kama roho yako inauma kwa wenzetu kupatana na kuamua kusahau yaliyopita, mungu akusamehe na akuondolee kutu iliyokuganda ktk moyo wako.
Hapa Mwanza alipokelewa kwa heshima zote, na leo kasindikizwa hadi MAGU kwa escort maalum kabisa. Jana walionekana wananchi wachache sana, hata 10 hawafiki wakipeperusha bendera za CUF wakati akipita mitaani/ barabarani
uko sahihi ndugu na mimi niko sahihi. Umoja wa kitaifa unawahusu wazanzibar na si watanzania. Maalimu seif ni kiongozi zanznibar, hapa bara ni kiongozui wa chama tu. Iweje atumie rasilimali za taifa kwa wadhifa wa ukatibu cuf? Ni halali?
yote haya yasinge ongewa kama slaa angepewa nafasi mfano wa maalim nakutembelea gari la serikali wasinge ongea kabisa. Yote ni wivu tu kuona mtu ana lindwa anapewa heshima linawauma sana.
nikweli unayosema. Zitaingizwa picha humu af tuone hao watu kumi unaosema acha mzaha kama roho inakuuma kajinyonge tu.
in short angekuwa katibu wako slaa usinge hoji. So nivema ukatulia. Itifaki imezingatiwa yule ni kiongozi. Wht do you espect atembee bila ulinzi. Chukulia tu hata makamu wa rais wa tanzania akiwa na ziara za mikoa hata za kibinafsi na kichama lazima awe na ulinzi. Yule ni makamu wa nchi ya zanzibar popote duniani anapokwenda hupata heshima kama hiyo unayo ilaumu by they we nimdogo huwezi jilinganisha na maalim kama hujui fuatilia historia huyu ndo wapili baada ya nyerere ndo wenye kujua siri ya nchi. Hebu fuatilia sio tu uropoke.
atakpokuwa raisi wa zanzibar kunaviumbe watajinyonga kabisa..mi nawashauri mjinyonge sasa hivi ili atakpokuwa rais tuwazike kabisa
Hivi kama katiba ni mkataba Kati ya viongozi na wananchi inakuaje mkataba unavunjwa na wananchi wanakosa pa kuanzia kudai haki? Jibu ni kwamba katiba tuliyonayo ni ya viongozi na si ya wananchi. Tuitupe.Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania haimtambui Seif Shariff, Iki ni kiburi cha viongozi wetu wa nchi kuvunja katiba kwa makusudi na hali walikula kiapo cha kuilinda katiba yetu.
Huu ndio utawala wa sheria. Wamethubutu wameweza na wanasonga mbele we hata ukipiga vipi kelele hawakujali.
hivi kama katiba ni mkataba kati ya viongozi na wananchi inakuaje mkataba unavunjwa na wananchi wanakosa pa kuanzia kudai haki? Jibu ni kwamba katiba tuliyonayo ni ya viongozi na si ya wananchi. tuitupe.