Maalim seif aliingia mitini au?

STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
807
622
Siasa za bongo bwana....

Hivi majuzi cuf walifanya maandamano ya kupinga dowans kulipwa, kawaida siku zote mstari wa mbele wa maandamano yao huongozwa na lipumba na seif. Juzi seif hakuonekana ktk mstari ule; wadau seif angekuwepo ktk mstari ule na ffu wangefanya kazi yao angekuwa vice president wa kwanza duniani kula bakora za vijana wa mwema. Maridhiano mengine tuwe tanaangalia consequences zake. Siasa za bongo zinaniacha hoi sana....
 
Kuwepo kwake Serikali kutakuwa kumechangia Bunge la Jamhuri kipitia wabunge wa CCM kubadilisha kanuni ya Bunge ili kubeba mshirika wao CUF
 
ndio maana tunasema CUF ni wake wa CCM, mkeo hawezi kukumbua kwenye hadhara.
think of Katibu mkuu ndiye mtendaji wa chama na pia ndiye kiongozi wa serikali hapo huitaji madesa kabisa jibu unalo
 
Back
Top Bottom