Maalim Seif aishukia CHADEMA

Huyu mbwiga kesha lewa wine za Ikulu sasa anaropoka tu,mnafiki mkubwa kipindi kile alikuwa anahamasisha maandamano yakifika kileleni yeye anapanda pipa kwenda ulaya kusikilizia watoto wa wenzake wanavyotwangwa risasi na askari wa CCM. Kumbe alichokuwa anatafuta ni ulaji binafsi sasa amefanikwa anaiponda Chadema.Alaaniwe Maalim Seif kwa usaliti wake, leo chama kinamfia mikononi anatafuta pa kutokea,
we fal.a hujui kuwa seif amekaa kizuizini muda mrefu sana kwa mabavu ya serikali ya ccm? usiandike tu elimradi unamikono na vidole.
 
uzuri wa haya mambo watu wanashuhudia, mwisho wa CCM an CUF ndo hu waja
 
... KAFU ni CCM 'B' na wala hakuna lunga nyingine tena, funga mlango na kamalizane kabisa na Hamad Rashid wenu huko huko.

Siku zote ulikisahau Chama Cha Wananchi KAFU ukiendelea kula vinono CCM ndio uanze kuruka na kuruka na kukanyagana hivi?

Naona Hamad Rashid kakukurupusha ulikojichimbia kwa kutaka kiti chako cha ukatibu mkuu hata asielewe kwamba wewe ni KATIBU MKUU WA KUDUMU.
 
hivi wewe unauchizi? au unaishi dunia gani? Je ni uongo kwamba chadema hawawasemi CUF? Narudia tena, bila shaka wewe utakuwa taahira au hivi karibuni utakuwa. Na kwa taarifa yako Seif yupo Kizanzibari zaidi ya hiyo cuf na ccm. Hamadi rashidi yupo kiccm na kicuf zaidi. those are two different pipos. Mark my words.

we fal.a hujui kuwa seif amekaa kizuizini muda mrefu sana kwa mabavu ya serikali ya ccm? usiandike tu elimradi unamikono na vidole.
Sasa wewe Matusi yanakusaidia nini, hoja hazijibiwi kwa matusi wala jazba zako hazikusaidii, lakini nadhani ukisoma michango ya wadau wenye akili utaona ur odd-man out! na ujiulize nani asiye na akili, chizi na f.ala kama si wewe.
 
Mhe Hamad Rashid amewaowa hao wabara kwa hiyo wasimtukane sana. Hivi huu mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa (GNU), imeanzia Zanzibar tu? Na hii si serikali ya mseto kama waandishi wa habari wa bara wanavyoandika. Hivi kule Nairobi kuna serikali ya aina gani vile? Hivi kule Nairobi watu walipambana mauwa ikisha wakaunda serikali yao mpya na baadaye katiba mpya au kwanza walitwangwana magumu na kuuwana? Hivi kule Harare kuna serikali ya aina gani vile? Hata leo iwe dhambi kwa Zanzibar. Sisi kama kuna uwezkano wa kuunda mfumo ambao utatusaidia kufanya mambo yetu na kuifaidika nayo, basi tupo tayari haya mavyama ya siasa yakafutwa.

Maalim Seif hajalewa wine yeye ni Muislamu wa kweli, ungesema kalewa kahawa na haluwa ya malindi hapo tungekuelewa. Nyinyi chadema mukipewa serikali mutalewa supu ya utumbo kwa ndizi choma ha ha ha!

Wanasema ipigwapo Zanzibar basi zile dharuba zake.... jaza wewe. Baada ya miaka mitatu ya serikali yetu, nyinyi mutakuja kusoma kwetu kama mulivyo soma ile miaka ya 1984 tulipo uwa azimio la Arusha, tukakufundisheni biashara huko bara baada ya kupanda maboti na huku bahari munaogopa, hebu vunjeni Muungano mupate kufaidi majumba waliyo jenga Dar na kuufanya mji leo hii. Baada ya hapo mumalizane kwa udini na umajimbo wewe mchaga, mmakonde, mmasai...
 
Mhe Hamad Rashid amewaowa hao wabara kwa hiyo wasimtukane sana. Hivi huu mfumo wa serikali ya umoja wa kitaifa (GNU), imeanzia Zanzibar tu? Na hii si serikali ya mseto kama waandishi wa habari wa bara wanavyoandika. Hivi kule Nairobi kuna serikali ya aina gani vile? Hivi kule Nairobi watu walipambana mauwa ikisha wakaunda serikali yao mpya na baadaye katiba mpya au kwanza walitwangwana magumu na kuuwana? Hivi kule Harare kuna serikali ya aina gani vile? Hata leo iwe dhambi kwa Zan
 
..sasa Maalim alikuwa wapi siku zote asisema haya?

..malumbano ya CDM vs CUF kuhusu nani ni mpinzani wa kweli mbona yalishatulia?

..Maalim Seif amekurupushwa na madai ya Hamad Rashid, sasa anajaribu kuibua upya malumbano kati ya CDM na CUF.
 
mtu ukishaolewa bwana huna ujanja unabakia kuropokaropoka tu, chadema sio mwanamke malaya kama ilivyo cuf. Nashut down
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom