zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
YApo mabandiko yanaelekeza kuwa meli hizi "skagit na kalama' haziwezi kustahmili high wind and big waves,zikikutana na hali hiyo zina tendency ya ku roll over,kwa sina recomendaton ya ku operate bandari za ndani ndani sio open sea tena isizidi 20 nm. hiyo ndio hitilafu ya kimuundo na hata huko america issue hii ilizifanya ziwe grounded.
Kwa hiyo walaumiwe USA waliotuuzia kifo? Hata iweje.
Bandari ya mwisho ilipotoka hizo meli ni lazima ifate kanuni na isingeziruhusu kuondoka kama zinajulikana zina matatizo. Hilo halipingiki.
Jee, walizikaguwa na wakakubali abiria wapakiwe kwenye vyombo vibovu bandari ya Dar Es Salaam?
Jee, hayo unayoyasema walikuwa wanayajuwa na wakaruhusu abiria wapakiwe bandari ya Dar Es Salaam?
Kama majibu ni ndio, basi wanamakosa kwa kuwaacha abiria wasiojuwa kitu kuhusu hizo meli kuzipanda. Na kama jibu hapana basi wanamakosa kwa kufanya uzembe.
Hii lawama hakwepeki, lazima vichwa viondoke bandarini Dar. na Hususan wenye dhamana ya usalama wa watumiaji hivi vyombo.