maajabu ya udsm

Nimeamini maneno ya mleta thread baada ya kuona post yako! kweli UDSM hamna kitu kama graduates wenyewe ndio kama wewe ..?? ATI NI BRAIN SOURCE YA DUNIA NZIMA! LOL
DUUH! kweli mko wengi, ila hapa nadhan si kuwa mtu alisomea sehemu fulan ndo asifie, ukweli uta baki pale pale kuwa, UDSM is the BEST! Labda tu siasa kwa sasa ndo inaiharibu, likitatuliwa hilo, UDSM ndo penyewe!
 
haijafika kiwango cha kusema ni bes dunia nzima bana!... UDSM itasumbua hapo TZN tu, tembea uone vyuo mkuu!
 
udsm wazee wa kuzurura mlimani city kwenda kununua pipi na karanga
 
udsm wazee wa kuzurura mlimani city kwenda kununua pipi na karanga

Kingxvi, toka mwanzo wa thread nimeyasoma mawazo yako. Lipo tatizo ulilonalo, nalo ni hili hukuweza kuiruhusu akili yako kuangalia upande wa pili. Kwamba, ni viongozi gani mashuhuru au watu gani waliopigania ustawi wa watu wao lakini wenyewe wakafa maskini ambao na zao la UDSM.

Pili, sidhani kama wanaosoma sasa UDSM ni wazee. By the time hao wazee wanasoma Mlimani City haikuwepo. Na kwa taarifa yako zama zile viwanja vya kutembelea havikuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom