ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 141
Masterz nayo ni degree ebo! Siku nyingine sema Shahada ya kwanza. Unajuaje kwamba haijanisaidia? Unataka mpaka uone nakufundisha darasani ndio ujue kuwa imenisaidia? Haya Profesa hebu niambie kazi ya UDSM ni kuzalisha mafisadi tu na sio zaidi ya hiyo? Hivyo vyuo vingine havijazalisha mafisadi? Kama una kiwango cha kubishana na mimi nijibu hayo maswali vinginevyo hapa kuna hadithi ya anayeoga mtoni akaibiwa nguo na kichaa akaamua kumfukuza akiwa bila nguo au vipi mdogo wangu?
haya sema tenaaa...UKUBWA NA UWEZO WA KIAKILI NI VITU VIWILI TOFAUTI!!! haya rudia tena...