Elections 2010 Maajabu ya uchaguzi huko Shinyanga: CCM washinda kwa kura MOJA

mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm stephen masele shinyanga aemtangazwa kuwa mshindikwa kupata kura 18570 fdhidi ya mgombea wa chadema philip shelembi aliyepata kura 18569

Tofautiyake ni kura moja tu........wazee mpo hapo?

Source: ITV

Hiyo ndio maana ya uchaguzi.................na wananchi waelezwe kuwa kura yake moja ndiyo itakayoleta mabadiliko kama ilivyokuwa hapo........kwa tulio zoea kusimamia mazoezi kama haya ya uchaguzi.....si jambo la kushangaza........ila inauma sana
 
natumaini hata kipofu atafumbua macho na kuona ni nini kinachoendelea..
 
Back
Top Bottom