Aloysius
Member
- Mar 1, 2011
- 80
- 9
Je wajua kuwa Sheria ya Ndoa ya Tanzania ni matokeo ya muswaada wa sheria ya Ndoa iliokataliwa kupitishwa na wabunge nchini Kenya, ndipo sisi tukaichukua nakuibariki kuwa sheria? Muhoji mbunge wako kuhusu hili! aloysrugazia@yahoo.co.uk