Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
V A C A N C I E S THE UNIVERSITY OF DODOMA (DEADLINE: 10th August, 2011)


1. POSITION: ACCOUNTANT (5 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------45


2 Assistant Accountant (8 Positions)
waliotuma Maombi ni ------1305


3 Accounts Assistant (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------603



4 Internal Auditors (3 Positions)

waliotuma Maombi ni ------------117

5. Human Resources/Administrative Officer (12 Positions)

waliotuma Maombi ni ------------2226


6. Records Management Assistant/Clerical Officers (7 Positions)

waliotuma Maombi ni ------------614

7. Receptionists (7 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------198


8. Personal Secretaries (5 positions)

waliotuma Maombi ni ------------310


9. Drivers (15 positions)

waliotuma Maombi ni ------------145



10 Office Attendants (12 Positions)

waliotuma Maombi ni ------------558


11. Public Relations Officer (1 Position)

Waliotuma Maombi ni ------------111

12. Assistant Medical Officers (6 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------3


13 Clinical Officers (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------77


14. Graduate Nurse (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------17


16 Health Attendants (12 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------57

17 Health Lab Assistants (3 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------29

18 Health Laboratory Technologist (2 Positions)

waliotuma Maombi ni ------------20

19 Health Officers (3 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------sijaona

20 Health Records Technician (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------15


21 Medical Officers (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------sijaona

22 Enrolled Nurse/Midwife (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------17

23 Pharmaceutical Technician (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------10


24 Nursing Officer (3 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------31

25 Deputy Estates Managers (3 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------19

26 Estates Officers (4 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------147

27 Artisans (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------5

28 Auxiliary Police (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------90

29. Planning Officers (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------


30. Systems / Network Administrator (4 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------378







31 Games Tutor (1 Position)
waliotuma Maombi ni ------------20





32 Janitors (18 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------443

33 Wardens (10 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------1424


34 Instructors (5 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------136

35 Laboratory Technicians (4 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------50



36 Laboratory Engineer/Scientist (4 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------101

37 Supplies/ Procurement and Logistics Officers (3 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------167





38 Assistant Supplies/Procurement and Logistics Officer (2 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------307


39 Supplies/Procurement and Logistics Assistants (6 Positions
waliotuma Maombi ni ------------355


40 Library Assistants (30 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------292



41 Library Officers (12 Positions)
waliotuma Maombi ni ------------SIJAONA

msikate tamaa jamani ndo TZ...
 
Tatizo la ukosefu wa ajira linazidi kuwa kubwa hapa Tanzania. Serikali yapaswa kujipanga vyema ili kutengeneza nafasi za ajira kwa wahitimu wa vyuo_Otherwise linatengenezwa bomu la hatari lenye mlipuko wa kutisha.
 
Hapo kama we una godfather ni kuairisha 2.we position ya watu 17 watu waliotuma zaidi ya elfu unategemea nini?
 
halafu waziri wa kazi anasema wasio na ajira ni asilimia 16 jamani watazania tujifunze kuwa wakweli tutakuwa huru.
 
Yan mie nimeitwa kweny pipo 1305 ila siendi wasiniletee ungese,bora hata wangepunguza punguza wenyewe kwanza.
 
Ukicheki yale mashule ambayo hayana mtelemko kwenye utabibu matumaini kibao. Huku kwa kila mtu ndio balaa. Vijana wa kisasa someni alama za nyakati na muanze kupenda Mathematics, njia za mkato hakuna tena
 
UDOM imefanikisha kutupa jambajamba.Kama unatoka mbali bora i save hiyo nauli.MAANA MIKAZI YA KIBONGO MINGI IMETAWALIWA NA RUSHWA MTAKUTA WATU WAMECHAGULIWA TAYARI WANATAKA KUINGIZA GHARAMA WATZ WA WATU AMBAO WANATAFUTA AJIRA.inaumaa ujue.
 
Kaka umemwaga data tu ujatoa analysis na kuleta info yoyote ya maana! Heb kwa hizo data leta tatizo tujue ni nn?I mean elezea ulikua unataka kutujulisha nn na izo namba zako
 
Mimi nina rafiki yangu alituma maombi hapo UDOM kwenye nafasi ya Administrative officer,nilipoona haya majina nikagundua kuwa hizi ni siasa,nimemwambia asije tu maana anapoteza muda wake,hapo kuna udini na watu wanapeana kazi kwa ground za kidini sana...hiki kitu kinaniuma sana basi tu,watu watapoteza pesa zao kwa kitu ambacho hawatafanikiwa kabisa...kumbuka hapo kila mkubwa ana watu wake kama watano hivi...sasa wewe mkulima kama mimi utapigana kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom