Maajabu ya mwaka!

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Ni saa mbili na dakika kadhaa, natoka Campus ya Mlimani kuelekea hostel ya Mabibo. Cha kushangaza ni kuwa Barabara ya Sam Nujoma kuelekea Ubungo hakuna foleni kabisa, haijafika hata darajani. Hii si kawaida kwani siku nyingine foleni huwa inafika makutano ya barabara ya Sinza hasa muda kama huu siku kama ya leo. Ni nini hakijaenda vizuri mpaka hakuna foleni?
 
wabongo bana! kifupi unalalamika kwanini hakuna foleni..?!!! oh god! tupewe nini sis inaadamu turidhike...
 
hayo ndo maajabu ya mwaka? tehtehee, mi nadhan thred yako ndo maajab ya mwaka
 
wabongo bana! kifupi unalalamika kwanini hakuna foleni..?!!! oh god! tupewe nini sis inaadamu turidhike...

Just sarcaism bro, kama kweli mambo yakienda vema kila mtu angefurahi...
 
hayo ndo maajabu ya mwaka? tehtehee, mi nadhan thred yako ndo maajab ya mwaka

Maajabu ya mwaka inamaanisha kuwa kitu kutokea mara moja mwakally, katika siku 365 zilizopita ushaona kitu kama hiki barabara ile?
 
Back
Top Bottom