maajabu ya Mungu

Novatus

JF-Expert Member
Jul 28, 2007
330
37
Mungu ni mkubwa. haya ni maajabu ya dunia
 
Attachments

  • girl with three breasts.jpg
    girl with three breasts.jpg
    33.1 KB · Views: 1,007
inaweza kuwa ni photoshop au pia ikawa kweli coz uwezekano wa kuwa na accessory breast upo, pia huwa yanajulikana kitaalamu kama polymastia, supernumerary breasts, or mammae erraticae
 
Kuna mwanamke nimeshuhudia kwa macho akiwa na hizo za kunyonyeshea mtoto, zikiwa tatu.
 
Mkuu inatisha sana!!! Assume umemtongoza mdada wa sampuli hiyo alafu mko faragha kwa room na minyege yako tele then mdada anavua nguo huku msisimko wako ukiwa juu na ghafla unakuta ana matiti matatu.... What will you do??? Most likely utatoka room nduki perhaps ukiwa uchi coz utakuwa na imani kuwa lazima atakuwa jini!!!
 
Kazi yake haina maakosa, yeye ndiye MUUMBA, analotaka huwa eeeeee huwa ......................
 
Mkuu inatisha sana!!! Assume umemtongoza mdada wa sampuli hiyo alafu mko faragha kwa room na minyege yako tele then mdada anavua nguo huku msisimko wako ukiwa juu na ghafla unakuta ana matiti matatu.... What will you do??? Most likely utatoka room nduki perhaps ukiwa uchi coz utakuwa na imani kuwa lazima atakuwa jini!!!

Maji ukishayavulia nguo sharti uyaoge.
 
Mkuu inatisha sana!!! Assume umemtongoza mdada wa sampuli hiyo alafu mko faragha kwa room na minyege yako tele then mdada anavua nguo huku msisimko wako ukiwa juu na ghafla unakuta ana matiti matatu.... What will you do??? Most likely utatoka room nduki perhaps ukiwa uchi coz utakuwa na imani kuwa lazima atakuwa jini!!!
Hamna...unapiga tu.
 
Back
Top Bottom