Maajabu ya kufa na kuzaliwa

Mleta mada ameongea jambo lenye fact kubwa.
Uzazi na vifo vingi hutokea usiku tusijifanye hatujui.
Hata wanaojaribu kuleta ushahidi wa majina ya watu wanaishia kutaja majina ya Sokoine na St Paka mweusi, no more! Ha ha haaa!
Mimi nadhani kwa kawaida usiku mwili huwa umeralax na na kwa mtu mgonjwa ni rahisi sn kupotelea usingizini, tofauti na mchana ambapo at least wanakuwa active na kujisustain!
Kuzaliwa usiku ni matter ya saikolojia zaidi ambapo mzazi angependa azae usiku kwa issue za privacy! Thats me!
 
Binafsi nimeambiwa na mama yangu kuwa nilizaliwa saa 8:45 mchana,hivyo tuliozaliwa mchana tupo tena wengi sana,kufa sijui nitakufa muda gani.Lakini vilevile wapo wengi sana wanaokufa mchana mfano mdogo ni waziri wetu mkuu aliyekuwa safarini akitokea Dodoma.Kwa hiyo matukio yote mawili ninaona kama ni sehemu tu ya maisha ambapo wengine wanakuwa day shift na wengine wanakuwa night shift..

Mkuu!mtoa mada ametoa ametupa mwongozo mapema kabisa kuwa mada hii haitahusisha watu wanaokufa kwa ajali,nashangaa unarudia kitu kile kile!!!!
 
Hii ndo shida ya watu wanafikili kwa masabuli yaani ww hata babako nafikili humjui na hata mamako atakua hakujui na ww humjui maana huyo unaemwita mamako alikuiba na hata mamako alikuzaa kwa bahati mbaya ndo maana akakutupa chooni mwana izaya mkubwa weeee....
Sielewi kwa Q'uran kuzaliwa na kufa kwa Yesu inasemaje. Ila nakushauri tu pitia biblia utaona kuwa Yosef na mchumba ake walihangaika sana usiku ule kutafuta nyumba ya wageni lakini wakakosa, matokeo yake wakalala kwenye zizi la ng'ombe na huko ndo alikozaliwa Yesu, kama walikuwa wanafuta nyumba ya kujipumzisha that means ilikuwa ni usiku, unakuwaje wewe? au mibange inakuchanganya?
 
Maajabu by definition ni kile ambacho hakitokei mara nyingi, kwa hiyo uliyosema wewe hayo si maajabu kwa sababu inaonekana ndo kawaida, kwa mujibu wako.

Kwa hiyo kabla hata sijakuuliza hizo statistics zako umezipata wapi, kwamba wengi wanazaliwa usiku na kufa usiku hakujavunja sheria yoyote ya asili.

Mi nilifikiri utatuambia habari zinazoshabihiana na maji ya mto kupanda mlima.

mkuu kiranga
umepata wapi maana hii uliyoitoa ya maajabu?
 
Maajabu by definition ni kile ambacho hakitokei mara nyingi, kwa hiyo uliyosema wewe hayo si maajabu kwa sababu inaonekana ndo kawaida, kwa mujibu wako.

Kwa hiyo kabla hata sijakuuliza hizo statistics zako umezipata wapi, kwamba wengi wanazaliwa usiku na kufa usiku hakujavunja sheria yoyote ya asili.

Mi nilifikiri utatuambia habari zinazoshabihiana na maji ya mto kupanda mlima.

kwa maana hii uliyoitoa basi mvua za misimu,kupatwa kwa jua/mwezi,radi,volcano eruptions,uchaguzi na vingine vingi
ni maajabu?
au labda unifafanulie mara nyingi inakuwaje.
kitu kinaweza kutokea mara nyingi lakini yakawa maajabu.
nieleweshe mkuu napata shida kidogo.
 
Hayo yote si maajabu kwa sio tu sababu yanatokea mara nyingi, bali pia yanaelezeka na kutabirika.
 
Life circle sema tu tofauti ni kuwa kuzaliwa kuko katika geometric progression na kufa kuko arthimetic progression,that whay idadi ya watu uongezeka kila siku.kingine ni kuwa may be huwa kuna exchange ya roho but this one only god knows.
 
Unaruhusiwa kujifariji.

kiranga
sijifariji na kitu chochote maana uliyoitoa ya maajabu kuwa ni kitu kisichotokea mara nyingi si kweli why cant you accept that the meaning was not right?
sasa baada ya kukubali unataka kuleta ubishi usiofaa.
vitu vingi havitokei mara nyingi na bado sio maajabu sasa hapa najifariji nini ndugu yangu.
mimi nimekwambia basi hiyo maana ilihitaji kuongeza maelezo pengine ingeweza kueleweka wewe unaleta mambo mengine.
philosophicaly and even logically maajabu kuwa ni kitu kisichotokea mara nyingi haileti maana.
 
Haya basi, maajabu ni kitu kinachotokea kila siku. Kama vile kuchomoza kwa jua.
 
sijui labda wenzangu wengine wanaelewa hiyo maana uliyoitoa. mimi siielewi inaruhusu maswali mengi zaidi ya majibu
 
Haya basi, maajabu ni kitu kinachotokea kila siku. Kama vile kuchomoza kwa jua.

wewe wasema.
kumbe kukubali kukosea ni kitu kigumu sana. usijali lakini mimi ni muelewa,
na mimi hukubali kukosea na kurekebishwa na hii ndio maana ya kutaka kujua. na nikikutana na watu kama wewe pia sishangai nawaelewa pia.
 
Inakuwa hivyo kwa sababu "metabolic activities" ya mwili huwa imara na juu sana nyakati za asubuhi wakati ikijiandaa kuhudumia mwili.Hivyo ikishindwa mwili unadhoofika na hatimaye huleta madhara ya ushindwaji kufanya kazi katika kiungo mojawapo cha mwili.
 
wewe wasema.
kumbe kukubali kukosea ni kitu kigumu sana. usijali lakini mimi ni muelewa,
na mimi hukubali kukosea na kurekebishwa na hii ndio maana ya kutaka kujua. na nikikutana na watu kama wewe pia sishangai nawaelewa pia.

The cacophony of condescension, concomitant with a conspiratorial compliment completes a comedic cahoot of a callous conformity with a candor of cobblers.
 
Eric anataka kutuambia kuwa,"Ukiona mvua inanyesha mchana, jua linawaka na radi zinanguruma, basi uje simba jike anazaa"! Wapi sasa Serengeti, Mikumi, Ruaha au Manyara? Manake dunia ni kubwa na ina mbuga nyingi. Mama zetu wangekuwa wanajua muda wa kujifungua, basi wengi wangekimbilia au kwenda hospitalini mapema ili wakapate huduma stahiki.

Kuna siri kubwa sana katika uwepo na madiliko ya mwanadamu kutoka kuzaliwa mpaka kufa ambayo hatuijui na ambayo wataalamu wamekuwa wakijaribu kuifanyia tafiti mbalimbali. Mtoto akizaliwa salama wanafamilia na jamii hufurahi na kumshukuru Mungu. Lakini mtoto huyo huyo akizaliwa amekufa au akija kufa baadaye, familia na jamii itamlilia! Kifo kinatisha.
 
Back
Top Bottom