Maajabu Nape na Mkama wasababisha foleni kuelekea ITV

Wana jf leo nimeshangaa sana hawa jamaa wa magamba wanakuja kutembelea hapa ofisini kwetu guardian cha ajabu kuanzia mwenge trafiki wametanda hapa kwetu pia hapa katika kona ya kuingia itv kuna ma[polisi na gari defenda ya polisi ulinzi uliopo maeneo haya utadhani anakuja hapa raisi wa nchi.

Haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma trafiki tokea mwenge mpaka hapa wapo 9 polisi katika kona wapo watano kwenye geti letu askari waliovaa kiraia wapo wawili hiki chama tabu kabisa naomba tujadili uhalali wa hili jambo.

Tatizo akina Nape, mapolisi na Mukama wanashindwa kutofautisha mali za serikali na dola.
Polisi ni mali ya dola...hivyo hawapaswi kupelekeshwa na viongozi wa serikali kama wanavyofanywa!!
 
Tatizo akina Nape, mapolisi na Mukama wanashindwa kutofautisha mali za serikali na dola.
Polisi ni mali ya dola...hivyo hawapaswi kupelekeshwa na viongozi wa serikali kama wanavyofanywa!!

Mkuu samahani hapo kwenye nyekundu unaamanisha Serikali na dola ni vitu viwili tofauti sio ni house na nyumba?
 
Back
Top Bottom