Maafisa elimu singida hawajui hesabu za kugawanya,.

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Eti. Huku singida inasemekana maafisaelimu hawajui hesabu za darasa la kwanza. Imegundulika kuwa

shule yenye wanafunzi 300. Ina walimu 24,
,, // ,, 400 walimu 34'
,, // ,, 1200 walimu 30'
// ,, 1000 walimu 37'
,, // ,, 500 walimu 09'
,, // , 200 walimu 22,
,, // , 200 walimu 03
,, ,, , 200 walimu 12.

Watalaamu hawa inabidi warudishwe tena darasa la pili ili wakajifunze hesabu maana inaonekana ni empty set, shule zote ziko njini katikati, je zilizoko nje ya mji vipi? Kwa mtindo huu wanategemea watafanya vizuri? Labda malaika watumwe na mungu kuja kuiokoa idara ya elimu singida, maana iko hoi, watanzania mnasemaje? Hii ni sawa ? Au mie ndo sijui hesabu? Inasikitisha sana kuona keki ya taifa inagawiwa kwa upendeleo.
 
Kama kugawa tu hawawezi,
MAGAZIJUTO si ndio itakua shida kabisa!!!
 
Back
Top Bottom