Maafa ya Mafuriko Katika Picha Na Wito Kuwachangia Wahanga

Jul 14, 2008
1,820
1,031
Zifuatazo ni baadhi ya Picha Za Sehemu Mbalimbali zilizokumbwa na Mafuriko, kwa hisani ya sources mbalimbali na hasa Michuzi Blog:

Yeyote anayeweza kupata picha, ruksa kuzibandika.

Tunaweza kuwasaidia ndugu zetu hawa kwa kutuma SMS yenye neno TPN kwenda 15522. Utakatwa TZS 250 tu za usajili na kisha TZS 150 tu kila siku kwa siku 30.

attachment.php
01_10_8m592a.jpg

Barabara zimeharibika na kufanya usafiri kuwa mgumu.

attachment.php
KUVUSHWA MTONI.JPG

Wananchi wakivuka mto mkondoa kuhama makazi yao yaliyoharibiwa na mafuriko.

mvuakubwa.jpg

attachment.php

Anna Mndale (kulia) akiwa na mwanaye kwenye nyumba yao iliyobomoka baada ya kukumbwa na mafuriko wilayani Kilosa. Hakika inatia huruma. Ukipenda waweza kuwasaidia.

attachment.php
DARAJA KUBOMOKA.JPG

Daraja la reli ya kati iliyokumbwa na madhara ya mafuriko hayo. Serikali kuwajibika.


attachment.php
mafuriko+kilosa+4.jpg

Baadhi ya vifaa vya wakazi wa Kata ya Kasiki na Mbumi za Mjini Kilosa vikiwa vimetolewa nje ya nyumba zao ili visisombwe na maji ya mafuriko yaliyotokea Desemba 26, mwaka huu mjini humo.
 
Back
Top Bottom